avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Unazingumzia Protestants au unazingumzia redio za kanisa Katoliki redio maria na tumaini ambao ni kuhubiri imani Yao tuu?Nimepanda gari la jamaa yangu ameweka Radio zao hizi. Hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine.
Inachosha asilimia 80 ya matangazo ni Mambo ya Elimu. Kuna Maisha mengine ndugu zanguni badilikeni.