Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Anzza na huyo jamaa yako mwambie aache ujinga azime redio, hajui kwamba unakereka!!?Nimepanda gari la jamaa yangu aweka Radio zao hizi. hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzza na huyo jamaa yako mwambie aache ujinga azime redio, hajui kwamba unakereka!!?Nimepanda gari la jamaa yangu aweka Radio zao hizi. hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule
Utapanda gari la jamaa yako halafu ukimaliza jamaa yako atakupanda weweNimepanda gari la jamaa yangu aweka Radio zao hizi. hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine. Inachosha asilimia 80 ya matangazo ni Mambo ya Elimu. Kuna Maisha mengine ndugu zanguni badilikeni.
Nimeanza na kupanda gariUtapanda gari la jamaa yako halafu ukimaliza jamaa yako atakupanda wewe
Nyie si mnaelimu Haelaaa Tu na ndo tatizo lenuTunawaambia ukweli badilikeni. Kila tangazo linahusu Shule au Chuo. Mnakera sana.
Hata kama hakuna ruhusa ya mtu kujisifu na kutangaza ovu lake .UNAFIQ NDO UMEKUJAA. QURAN INARUHUSU MTU AKIWA NA NJAA NA HAKUNA CHAKULA KINGINE KULA KITIMOTO. NA NDIVYO INAVYOTOKEA KWANGU. ACHA UNAFIQ.
Fungua na sikiliza redio nyingine isiyo na matangazoTunawaambia ukweli badilikeni. Kila tangazo linahusu Shule au Chuo. Mnakera sana.
Mbona waislam wanawekaga yao?Nimepanda gari la jamaa yangu ameweka Radio zao hizi. Hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine.
Inachosha asilimia 80 ya matangazo ni Mambo ya Elimu. Kuna Maisha mengine ndugu zanguni badilikeni.
hata Yesu alikuwa hajui kusoma na kuandika mkuu...sio yyte tu bali manabii wote ndio walivyo..Muislam na shule wapi na wapi lazima yakukere.
Mohamed mpk kufa kwake alikuwa hajui kusoma na kuandika.
Hapa umedanganya. Yesu alisoma Tourat.hata Yesu alikuwa hajui kusoma na kuandika mkuu...sio yyte tu bali manabii wote ndio walivyo..
Mkuu wewe mjanja sana, umeweka neno "redio za kikristo" kwa makusudi ili kuvutia uzi wako. Subiri wenyewe waje 😀 😀 😀 😀 😀Nimepanda gari la jamaa yangu ameweka Radio zao hizi. Hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine.
Inachosha asilimia 80 ya matangazo ni Mambo ya Elimu. Kuna Maisha mengine ndugu zanguni badilikeni.
Mkuu inabidi usali sana maana hata humu hayo majini yapo, kama nayaona yanavyojipanga kukutafuta kwa udi na uvumba ilimradi tu yakuvuruge...[emoji124]DINI YENU imeanzishwa na Shetani.
Roman+mood+Majini+ Mapepo.
= Islamic
Nami nimewaza hivyo kama wewe Ndugu yangu.Mtoa mada hivi uko serious au unachangamsha tu genge weekend hii tulivu