Radio za Kikristo mnakera sana kwakweli

Unazingumzia Protestants au unazingumzia redio za kanisa Katoliki redio maria na tumaini ambao ni kuhubiri imani Yao tuu?
 
Unataka aweke redio imaan usikie matangazo ya waganga WA kienyeji na Malumbano ya dini.......baadaye oohhh wakristo mnachaguana kwenye vyeo ......ujasoma unataka uwekwe wapi?? Kama sio chooni basi ukiambulia Sana ujue masijala
 
Mkuu soma sana na uishike sana elimu ipasavyo.

Wakristo wanadeal na vitu viwili hata shule zao zipo hivyo.

1.Elimu ya dunia
2.Elimu ya dini

usichoke ndugu yangu hawana mengine ya kutangaza zaidi ya hayo na hata kanisani tunasikiliza sana hayo matangazo muda mfupi kabla ya miss Takatifu kufikia ukingoni
 
Na wewe ukasikiliza ulivyo boya
 

Radio huwa inachagua nani wa kuwaletea au kutowaletea matangazo?
 
Elimu ndio kila kitu. Waliodharau elimu wanalialia huko barabarani kuwa wanabaguliwa. Mwisho hujalazimishwa kusikiliza hiyo redio. Ungeweka pamba masikioni.
 
Hii ni mpya!yaani unakereka na masuala ya elimu! Si tumehimizwa kumshika sana elimu, kutomuacha aende zake!?
 
Bora tangazo za shule kuna hii redio ya waadivesta sijui wasabato muda wote tangazo ni moja la mama sami' akisifia kuhusu kanisa hilo
 
Ndio zinazowaweka mjini, lazima wazipigie chapuo.
 
Muanzisha uzi hakuwa na nia ya kuleta malumbano ya dini, angalau kwa upande wangu sikuona hilo. Naweza kuamini na yeye ni mkristo.
Sasa wanajf nafikiri mna chuki zenu binafsi, mnaubadilisha huu uzi kuwa wa chuki.
Binafsi sipendi kusikiliza radio watu wanaongea muda wote, na mada hata hazina mashiko. Napenda muziki utawale zaidi.
Radio nyingi za Tz, watangazaji wanakuwa wawili au watatu, basi ni kuongea tu baina yao mada waliyoamua kuiongelea, huwa zinanichosha sana.
 
Sijataja dini yangu. Ila sikuwa na nia ya kuleta malumbano ya kidini. Nlikuwa nawaambia tu wakristo radios zao wapunguze matangazo ya shule shule kila wakati. Ina bore sana. Kuna mambo mengi mbali na shule na vyuom
 
Hilo pia nalo ni tatixo la kiakili nenda kwa mwanasaikolojia
 
TBC International sijawahi sikia tangazo la mchongo pesa wala 3 mzuka, hakuna matangazo hata ya kubahatisha
 
Hii nchi sijui inaenda wapi yaani radio kutangaza matangazo ya elimu inamkera mtu au ni sikukuu imekuja vibaya Kwa upande wako mkuu.
Hii ni promo, huyu hana, Uislamu wowote, anajua akitumia maneno haya, watu wasio waislamu wataukejeli Uislamu na Waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…