Rafiki aligeuka kuwa mnafiki kisa mwanamke

We naye hata darasani ulikuwa kilaza tu alafu unalazimisha lugha za watu sasa hiki ni kiingereza gani eti"he was reach a point of give up" acheni ujinga madogo naona siki hizi mnakuja na vistori vingi vingi..
 
Mkuu hii staili uliokuja nayo nzuri sana uko unique nimevutiwa na uandishi wa kipekee umefanya nimesoma hadi mwisho.

Itapendeza kama utashusha mzigo mwingine kwa staili hii hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…