Rafiki aligeuka kuwa mnafiki kisa mwanamke

Jamii Forum mimi tu wakati nasoma ndo nlikuwa kilaza.

Member wengine wote vipanga.
 
Tuendelee
Basi jamaa akawa karibu sana na huyo dem me nilijua labda ushemeji tu kwa vile jamaa nilivyomwamini sikumtilia mashaka hata kidogo hata wanadarasa walichukulia POA maana nao wasingeamini kama jamaa anaweza kunisaliti

Ule ukaribu ulizidi kutokana wao wote walikuwa hawasomi masomo ya sayansi Kwa hiyo the most of the time walikuwa wana spend together kwa kuwa Kila kitu walichokuawanazungumza alikuwa ananiambia basi nilijipa imani kwamba nothing bad was going on

Basi mwezi wa 9 tukiwa kidato cha 3 alisema tuachane nilishtuka sana cause I had never experienced such situation before nilimuuliza sababu gani inayotufanya tuachane alisema ameshindwa kuwa kwenye mahusiano na mtu asiyempenda nikamwambia fresh Nika move on


Kufikia mwezi wa 5 kidato cha 4 kipindi hicho chote nilikuwa single kipindi hicho Kila mtu analikuwa kwenye couple halaf nikimwangalia ex wangu bado Jimbo liko wazi nilitafuta namna ya kurudisha majeshi niliyopoteza lakini awamu hii ili kuwa ina fikirisha sana dem alikubali lakini huyo rafiki(jamaa)alipunguza ukaribu na Mimi sikumind sana

Kumbe walikuwa wananichora

Story ndo ikaanza sasa!!!!!!!!!!!!

Tutaendelea-----------------------___________
 
Leta vitu
 
Tulikutana na that guy o level mimi alikuwa mgeni mimi ndo niliye mpokea skonga na mtaani Kwa hiyo huo ndo ulikuwa mwazo wa urafiki wetu ilifikia hatua our fellow students wakatuonea wivu kutokana na lifestyle yetu
Wote ME 🤔watu wakawa wanawaonea wivu?
 
Me sio Nabii ila we utakua bado uko mwanafunz( pupil),uandishi wa kisa chako bado sana,picha linaanza iyo sentence ya kwanza inaonesha we ni demu("tulikutana na that guy" -wanawake huwaita wanaume wasiowajua hiv),kiswa-english unakilazimisha sana
Binafsi nadhan hamna haja ya kuendelea na kisa chako unless utafute mwandish mzur akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…