Tuendeleni jamani sometimes zinanikata
Mwisho wa siku jamaa akaanza kuomba mzigo .dem alikataa akasema anamatatizo ambayo yanamfanya asifanye ngono kwanza huyo mwamba alianza kukaa kwetu ili kujiandaa vizuri na necta ,basi pepa likibana namsaidia basi dem alimkatalia kumpa tunda mpaka tukamaliza shule
Maisha baada ya f4 yakaendelea na wote tulikuwa tunakaa the same street
Inaendelea