Rafiki anahitaji kazi. Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha

Edna kahema

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
34
Reaction score
33
Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote

Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo hili mnisamehe)

Kwa Sasa anapitia changamoto za kifamilia na ni nzito, njia pekee ni yeye kujiokoa kwa kupata kazi

Ni fast learner naombeni msaidie huyu Dada.

Nitasoma kila ujumbe
 
Sijaelewa
Huyu ni daktari au kliniko ofisa yaani mganguzi
Maana daktari aliesoma na kufanya field mpaka kuwa daktari, huwa anachagua kazi, yaani kazi zinamfata yeye

MD wa nchi gani kazi inamfuata mwenyewe na KAZI anachagua?

Ili nikuunganishe na MD watatu ninaowafahamu wanaranda randa mtaani na kazi za MT(Mission town). Ili uwape hizo KAZI ambazo wengine wanachagua.
Kazi zinazolingana na elimu na taaluma zao.
Sio ulete vibarua vya laki tano hapa
 
Hata mm nimeshindwa kuelewa hii kauli 'kazi zinamfata' hapa hapa Tz
 
Siamini kabisa kuwa daktari asome miaka mitano halafu aanze kuhangaika kutafuta ajira.waliosoma political science itakuwaje sasa.kama ni kweli nakupa pole sana
 
Kama yuko dsm atoke aje mikoani huku waskomjua ajichanganye na biashara ndogo ndogo akiwa amefcha vyeti vyake ni mbnu iliyonisaidia kutoboa na mpk nikatoa mawazo ya kuajiliwa tn na akili imekuwa active kwny utafutaji kuliko kuajiliwa tofauti na nlipokuwa dsm..ajira hakuna mpk mikoan uku ni bilabila tu uspochangamka hata kutengeneza vitumbua ukauza utasubiri sn nliamua kuja mkoa wa kagera kufanya biashara mke wng alikuwa mama wa home nkapata akili ya kumpa ktu cha awe na uhakika wa kupata angalau hata elfu 5 kwa sku nikafanikiwa wote tupo busy na utafutaji ni hayo tu.
 
Kuptia magumu ya kukosa ajira nlijfunza kuwa mwandishi wa vitabu na ninafanya vzr nimeshawaandkia watu 5 mpk sasa maana toka zaman nlikuwa mzuri sn wa kuandka, nlijfunza kuandka company and org profile, business plan nk vyote vlinisaidia sn kupata pesa ksha nikajkta kwny biashara na kuandka vitabu hapa napga hesabu ya kuanza kuandka vya kwangu niuze hardcopy na softcopy kuanzia mwakani na nina imani nitafanikiwa maana tyr nimeshandaa kmoja ambacho nategemea kukitoa mwakani mwanzon hii yote ilitokana na kusota kutafuta kazi nlipokuwa dsm akili ililala sn ksa nasubiri ajira miaka karibia 7 nasota tu achen jamani daaah ila namshukuru MUNGU kwa yote.
 
Kama yuko dsm atoke aje mikoani huku waskomjua ajichanganye na biashara ndogo ndogo akiwa amefcha vyeti vyake ni mbnu iliyonisaidia kutoboa na mpk nikatoa mawazo ya kuajiliwa tn na akili imekuwa active kwny utafutaji kuliko kuajiliwa tofauti na nlipokuwa dsm..ajira hakuna mpk mikoan uku ni bilabila tu uspochangamka hata kutengeneza vitumbua ukauza utasubiri sn nliamua kuja mkoa wa kagera kufanya biashara mke wng alikuwa mama wa home nkapata akili ya kumpa ktu cha awe na uhakika wa kupata angalau hata elfu 5 kwa sku nikafanikiwa wote tupo busy na utafutaji ni hayo tu.
Nisome shahada ya udaktari wa binadamu halafu nianze kuchoma vitumbua?
 
MD wa nchi gani kazi inamfuata mwenyewe na KAZI anachagua?

Ili nikuunganishe na MD watatu ninaowafahamu wanaranda randa mtaani na kazi za MT(Mission town). Ili uwape hizo KAZI ambazo wengine wanachagua.
Kazi zinazolingana na elimu na taaluma zao.
Sio ulete vibarua vya laki tano hapa
Md mwenye vibarua vyake 2 vya laki tano tano anayo take home nzuri, ambayo ni sawa au zaidi kidogo ya md wa tamisemi. Utofauti wao ni mwajiriwa anayo dhamana ya kazi ya ake, na analipa kodi kwa serekali ya watekaji.
 
Kibongo bongo MD akipewa hiyo laki 5 ni kazi ya full time sio ati afanye masaa matatu au manne
 
Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote

Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo hili mnisamehe)

Kwa Sasa anapitia changamoto za kifamilia na ni nzito, njia pekee ni yeye kujiokoa kwa kupata kazi

Ni fast learner naombeni msaidie huyu Dada.

Nitasoma kila ujumbe
Kama kweli ni daktari azunguke kwenye hospitali au zahanati na awaelezee anaweza kufanya procedure zipi na zipi , kama yupo competent hawezi kukosa kijiwe.
 
Back
Top Bottom