Edna kahema
Member
- Nov 16, 2016
- 34
- 33
- Thread starter
- #21
Ameeen ni mdada sio mimi mpendwa
Hakuna MD bongo anaesumbuka kutafuta kazi, acha mbaa mbaa zakoMD wa nchi gani kazi inamfuata mwenyewe na KAZI anachagua?
Ili nikuunganishe na MD watatu ninaowafahamu wanaranda randa mtaani na kazi za MT(Mission town). Ili uwape hizo KAZI ambazo wengine wanachagua.
Kazi zinazolingana na elimu na taaluma zao.
Sio ulete vibarua vya laki tano hapa
Huu umri kwa industry ya utalii hasa hotelier ni mkubwa mnoo. Ila mshauri atume Cv yake hospital mojainaitwa Med express na nyingineTasakhta Unguja
Hakuna MD bongo anaesumbuka kutafuta kazi, acha mbaa mbaa zako
Hivi unajua mziki wa kusomea MD, hata hapa bongo kama umepitia yote na kujisajili kabisa kama MD haukosi kazi,
Tatizo mnachnganya kliniko ofisa kuwa ni MD, hao ni vilaza hawawezi kupewa kazi za udaktari
Hao jamaa zako siamini kama ni qualified MD, halafu wanasota kazi, wakati vizahanati vimejaa siku hizi bongo kila kona
Tofautisha neno MD na vicheti vicheti vingine
Kwa wahaya mambo ya kuandika mko vizuri sana, Akina Ansbert Ngurumo, akina Kabendera, akina Charles MwijageKuptia magumu ya kukosa ajira nlijfunza kuwa mwandishi wa vitabu na ninafanya vzr nimeshawaandkia watu 5 mpk sasa maana toka zaman nlikuwa mzuri sn wa kuandka, nlijfunza kuandka company and org profile, business plan nk vyote vlinisaidia sn kupata pesa ksha nikajkta kwny biashara na kuandka vitabu hapa napga hesabu ya kuanza kuandka vya kwangu niuze hardcopy na softcopy kuanzia mwakani na nina imani nitafanikiwa maana tyr nimeshandaa kmoja ambacho nategemea kukitoa mwakani mwanzon hii yote ilitokana na kusota kutafuta kazi nlipokuwa dsm akili ililala sn ksa nasubiri ajira miaka karibia 7 nasota tu achen jamani daaah ila namshukuru MUNGU kwa yote.
Wewe kaa kwa kutuliaUpo wapi nikukeletee MD ambao hawana KAZI?
Kwa vile wewe umejua juzi kutofautisha MD na CO ndio unafikiri wengine hawajui kama ulivyokuwa haujui wewe?
Aya yako ya mwisho ya vicheti cheti vingine imezidi kukutambulisho wewe ni MTU WA Aina gani, background yako, na kiwango chako cha akili.
Cheti ni cheti. Muhimu kinathibitisha ujuzi taaluma ya mtu Fulani.
Kichekesho kwa hiyo hawa MD wanaosumbuka mtaani na vyeti wote ni COsHakuna MD bongo anaesumbuka kutafuta kazi, acha mbaa mbaa zako
Hivi unajua mziki wa kusomea MD, hata hapa bongo kama umepitia yote na kujisajili kabisa kama MD haukosi kazi,
Tatizo mnachnganya kliniko ofisa kuwa ni MD, hao ni vilaza hawawezi kupewa kazi za udaktari
Hao jamaa zako siamini kama ni qualified MD, halafu wanasota kazi, wakati vizahanati vimejaa siku hizi bongo kila kona
Tofautisha neno MD na vicheti vicheti vingine
Wewe kaa kwa kutulia
Usianze kujifanya mchambuzi wa akili za watu huku unaleta kuleta personal attack, hii inaonyesha kwa wewe kilaza unaanza kujihami kunishambulia bila kujibu nilichoandika
Hao jamaa zako waambie wajue kabisa kama walishazoea zile za kizamani ukimaliza unapangiwa kazi ya udaktari, kwa sasa lazima upite udahili hata kwa serikali hii imeshaanza, na kwa hospitali binafsi ndio kabisa kama ni kliniko ofisa au waliungaunga elimu yao ya MD wasahau, na kwa hapo nachelea kusema hao sio MD
https://www.google.com/search?q=medical+doctor+jobs+tanzania&sca_esv=9015ac2879de739b&rlz=1C1GCEA_en&ei=83JFadzUAbeEhbIP4fD1aA&uact=5&oq=medical+doctor+jobs+tanzania&gs_lp=Egxnd3Mtd2l6LXNlcnAiHG1lZGljYWwgZG9jdG9yIGpvYnMgdGFuemFuaWEyBhAAGBYYHjIGEAAYFhgeMgYQABgWGB4yBhAAGBYYHjIGEAAYFhgeMgYQABgWGB4yBhAAGBYYHjIGEAAYFhgeMgYQABgWGB4yCxAAGIAEGIYDGIoFSLUfULsFWMQZcAF4AZABAJgBWaABjQWqAQE5uAEDyAEA-AEBmAIKoAK0BcICChAAGLADGNYEGEfCAg0QABiABBiwAxhDGIoFwgILEAAYgAQYkQIYigXCAgoQABiABBhDGIoFwgIFEAAYgASYAwCIBgGQBgqSBwIxMKAH-E-yBwE5uAevBcIHBTAuNi40yAccgAgA&sclient=gws-wiz-serp&jbr=sep:0&udm=8#vhid=vt=20/docid=zvrkP5xlgO5wtBkJAAAAAA==&vssid=jobs-detail-viewer
Kichekesho kwa hiyo hawa MD wanaosumbuka mtaani na vyeti wote ni COs
Unazungumzia miaka hii au miaka 10, 15, 20 nyuma?Sijaelewa
Huyu ni daktari au kliniko ofisa yaani mganguzi
Maana daktari aliesoma na kufanya field mpaka kuwa daktari, huwa anachagua kazi, yaani kazi zinamfata yeye
Msaada hautafutwagi hivi Edina utasugua sana gaga.
Namtafutia mtu ndugu yanguMsaada hautafutwagi hivi Edina utasugua sana gaga.
Unachagua maswali ya kujibu?
Wasomi wa bongo bwana.
amekariri maisha huyo tahira ....hata uongee nini hawezi kukuelewa maana uchawa ndio kazi yake kwa sasaKichekesho kwa hiyo hawa MD wanaosumbuka mtaani na vyeti wote ni COs
Niandikie hapa
Anataka kufanya kazi Gani upande wa afya ?
Anataka kufanya kazi mkoa upi ambao itakua rahis kwake.?
Nijibu haraka ..mambo ni mengi