Edna kahema
Member
- Nov 16, 2016
- 34
- 33
Sijaelewa
Huyu ni daktari au kliniko ofisa yaani mganguzi
Maana daktari aliesoma na kufanya field mpaka kuwa daktari, huwa anachagua kazi, yaani kazi zinamfata yeye
Hata mm nimeshindwa kuelewa hii kauli 'kazi zinamfata' hapa hapa TzMD wa nchi gani kazi inamfuata mwenyewe na KAZI anachagua?
Ili nikuunganishe na MD watatu ninaowafahamu wanaranda randa mtaani na kazi za MT(Mission town). Ili uwape hizo KAZI ambazo wengine wanachagua.
Kazi zinazolingana na elimu na taaluma zao.
Sio ulete vibarua vya laki tano hapa
Nisome shahada ya udaktari wa binadamu halafu nianze kuchoma vitumbua?Kama yuko dsm atoke aje mikoani huku waskomjua ajichanganye na biashara ndogo ndogo akiwa amefcha vyeti vyake ni mbnu iliyonisaidia kutoboa na mpk nikatoa mawazo ya kuajiliwa tn na akili imekuwa active kwny utafutaji kuliko kuajiliwa tofauti na nlipokuwa dsm..ajira hakuna mpk mikoan uku ni bilabila tu uspochangamka hata kutengeneza vitumbua ukauza utasubiri sn nliamua kuja mkoa wa kagera kufanya biashara mke wng alikuwa mama wa home nkapata akili ya kumpa ktu cha awe na uhakika wa kupata angalau hata elfu 5 kwa sku nikafanikiwa wote tupo busy na utafutaji ni hayo tu.
Kwan vitumbua haviwez kuumwa? Ajira chache ndio asipobadil matazamio, mipango n attitude atasongeka kwa mawazo. Furs kun baadh ya mikoa yenye ubepqr mkubwa lazima upeweNisome shahada ya udaktari wa binadamu halafu nianze kuchoma vitumbua?
Md mwenye vibarua vyake 2 vya laki tano tano anayo take home nzuri, ambayo ni sawa au zaidi kidogo ya md wa tamisemi. Utofauti wao ni mwajiriwa anayo dhamana ya kazi ya ake, na analipa kodi kwa serekali ya watekaji.MD wa nchi gani kazi inamfuata mwenyewe na KAZI anachagua?
Ili nikuunganishe na MD watatu ninaowafahamu wanaranda randa mtaani na kazi za MT(Mission town). Ili uwape hizo KAZI ambazo wengine wanachagua.
Kazi zinazolingana na elimu na taaluma zao.
Sio ulete vibarua vya laki tano hapa
Md mwenye vibarua vyake 2 vya laki tano tano anayo take home nzuri, ambayo ni sawa au zaidi kidogo ya md wa tamisemi. Utofauti wao ni mwajiriwa anayo dhamana ya kazi ya ake, na analipa kodi kwa serekali ya watekaji.
Siku hizi sekta zote Ngoma ngumuHata mm nimeshindwa kuelewa hii kauli 'kazi zinamfata' hapa hapa T
Wafanye kwa commissionKibongo bongo MD akipewa hiyo laki 5 ni kazi ya full time sio ati afanye masaa matatu au manne
Kama kweli ni daktari azunguke kwenye hospitali au zahanati na awaelezee anaweza kufanya procedure zipi na zipi , kama yupo competent hawezi kukosa kijiwe.Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote
Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo hili mnisamehe)
Kwa Sasa anapitia changamoto za kifamilia na ni nzito, njia pekee ni yeye kujiokoa kwa kupata kazi
Ni fast learner naombeni msaidie huyu Dada.
Nitasoma kila ujumbe
34Ana umri gan