Rafiki anahitaji kazi. Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha

Hakuna MD bongo anaesumbuka kutafuta kazi, acha mbaa mbaa zako
Hivi unajua mziki wa kusomea MD, hata hapa bongo kama umepitia yote na kujisajili kabisa kama MD haukosi kazi,
Tatizo mnachnganya kliniko ofisa kuwa ni MD, hao ni vilaza hawawezi kupewa kazi za udaktari
Hao jamaa zako siamini kama ni qualified MD, halafu wanasota kazi, wakati vizahanati vimejaa siku hizi bongo kila kona
Tofautisha neno MD na vicheti vicheti vingine
 

Upo wapi nikukeletee MD ambao hawana KAZI?

Kwa vile wewe umejua juzi kutofautisha MD na CO ndio unafikiri wengine hawajui kama ulivyokuwa haujui wewe?

Aya yako ya mwisho ya vicheti cheti vingine imezidi kukutambulisho wewe ni MTU WA Aina gani, background yako, na kiwango chako cha akili.

Cheti ni cheti. Muhimu kinathibitisha ujuzi taaluma ya mtu Fulani.
 
Kwa wahaya mambo ya kuandika mko vizuri sana, Akina Ansbert Ngurumo, akina Kabendera, akina Charles Mwijage
 
Wewe kaa kwa kutulia
Usianze kujifanya mchambuzi wa akili za watu huku unaleta kuleta personal attack, hii inaonyesha kwa wewe kilaza unaanza kujihami kunishambulia bila kujibu nilichoandika

Hao jamaa zako waambie wajue kabisa kama walishazoea zile za kizamani ukimaliza unapangiwa kazi ya udaktari, kwa sasa lazima upite udahili hata kwa serikali hii imeshaanza, na kwa hospitali binafsi ndio kabisa kama ni kliniko ofisa au waliungaunga elimu yao ya MD wasahau, na kwa hapo nachelea kusema hao sio MD


https://www.google.com/search?q=med...P5xlgO5wtBkJAAAAAA==&vssid=jobs-detail-viewer
 
Kichekesho kwa hiyo hawa MD wanaosumbuka mtaani na vyeti wote ni COs
 

🤣🤣🤣🤣

Una vituko Sana wee jamaa.
Ukikazana hivi Coy Mzungu atakupa usajili.

Ninyi ndio wasomi mnaochekwa na Doto Magari ambao kusoma mmesoma lakini akili kipengele.
Wewe kama hujui kwamba kuna MD wapp mtaani hawana kazi basi unasafari jdwfu Sana au mzunguko wako ni Mdogo
 
Kichekesho kwa hiyo hawa MD wanaosumbuka mtaani na vyeti wote ni COs

Huyo mzunguko wake ni Mdogo. Mtaa au ukoo anaotoka nafikiri wasomi anaowajua ni wachache wenye ajira.

Watoto mpaka WA wabunge hawana ajirra tena ni MD yeye anaongea ushuzi hapa
 
Sijaelewa
Huyu ni daktari au kliniko ofisa yaani mganguzi
Maana daktari aliesoma na kufanya field mpaka kuwa daktari, huwa anachagua kazi, yaani kazi zinamfata yeye
Unazungumzia miaka hii au miaka 10, 15, 20 nyuma?

Wengi wanamaliza hata na huo mmoja wa internship na bado kazi hawapati
 
Niandikie hapa


Anataka kufanya kazi Gani upande wa afya ?

Anataka kufanya kazi mkoa upi ambao itakua rahis kwake.?

Nijibu haraka ..mambo ni mengi krismasi hii
 
Niandikie hapa


Anataka kufanya kazi Gani upande wa afya ?

Anataka kufanya kazi mkoa upi ambao itakua rahis kwake.?

Nijibu haraka ..mambo ni mengi

Sawa samahani kuchelewa

Mkoa wowote ni mbobezi vitengo vya HIV or malaria

Naomba kama itakupendeza namba ni 0716099951 Asante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…