Rafiki anahitajika

[emoji23]wana waisrael walishafika huko na wamemaliza maziwa na asali yote, ndomaana wengine tupo tunaparangana tu na maandazi na chai ya pilipili
Mimi najua yapo wewe kama huyataki sawa bhna ila yapo kbs
 
Naona unatafuta changamoto mpya πŸ˜‚πŸ˜‚.
Piga stor na wanao siku ziende ..
 
Naona unatafuta changamoto mpya [emoji23][emoji23].
Piga stor na wanao siku ziende ..
[emoji2] watoto hawatakiwi kubeba mizigo mikubwa boss,kama mzazi ndo nawapambania ili nitatue changamoto zao na sio wao wabebe zangu .Alafu kila mmoja na namna yake ya kulitazama na kulitatua tatizo .unaweza usiwe na rafiki ila ukawa na mtu mmoja tu ambaye anakushauri na kukupa namna tofauti ya kulitazama tatizo lako
 
True...Sina watu hawaulizi tu Ila kimoyomoyo wajiuliza he vp kipengle Cha pesa kimeguswa au kitahusika kwenye ibara tajwa ?
 
True...Sina watu hawaulizi tu Ila kimoyomoyo wajiuliza he vp kipengle Cha pesa kimeguswa au kitahusika kwenye ibara tajwa ?
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi unajua kuwa unatoa siri yako ...kwahiyo ndo unajiuliza hapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…