Rafiki anahitajika

Rafiki anahitajika

Umesoma kozi gani na Je unaelewa vizuri lugha ya malkia kwa ufasaha 💯%
 
Mimi ni binti miaka 24 nipo mwanza,nimemaliza chuo natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana kuhusu maisha na mambo mengineyo🥲
Njoo igoma hapa tuendelee kuongea ongea week end imeingi
 
I'm 25yrs old mrembo drop namba ako inbobo nikupe mawazo yamotomoto🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom