FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
hahahah Xpin nimeamini wewe una matatizo yaani umenichekesha sana ahahahaAnd here I am with the feedback:
Jana nilivotoka machale yakanicheza. Nikaamua ngoja kwanza nitesti zali kwa maneno kwanza. Nisije peleka kabinti ka watu kakaambulia kipigo. Nikatinga home mapema kuliko kawaida. (nilimshangaza mamsapu, siyo kawaida yangu kuwahi kurudi). Nikamuuliza kama ana rafiki wa kiume. Akashtuka kidogo, ofkozi alipigwa na butwaa. Nikamwambia nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwake! LOL! Mahakama ikahamia nyumbani:
Huyo binti umemjulia wapi?Kazini. Ana umri gani? Miaka 30.Ameolewa?
Hapana. Ana mchumba? Sijui. Kwanini hujui? Sijamuuliza. Kwa nini hujamuuliza? Look here mama, nina marafiki wengi tu wa kiume hawajaoa na wala sijawauliza kama wana wachumba, kwa nini nimuulize huyu au kwa kuwa ni mwanamke?
Akaniangalia juu mpaka chini! LOL akaniambia kuna kitu namtafutia. Nikamwambia si kweli. Maswali yakaendelea; Kwa nini unataka kumtambulisha kwangu? Ili umjue. Unae rafiki mmoja tu wa kike? Nnao wengi. Mbona hao wengine huwatambulishi kwangu? (Nikasita kidogo) Yeye ndio anataka akuone nikaona si vibaya. Now look here playboy (ni mara yake ya kwanza kuniita hivyo) Go and tell that girlfriend of yours, kama anataka kunifahamu for good, aje hapa na mchumba wake au mme wake. Akija mwenyewe patakuwa hapatoshi hapa! LOL!
But thats not bad for starting, I can buy someone au naweza kumtumia mmoja wa wapwa zangu kujifanya ndie mchumbake, SIYO? Si atakuwa kashamfahamu rafiki yangu wa kike? And thats what I want anyway! HAHAHA!
kweli wewe binamu hamnazo nithamehe bure