Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

hahahah Xpin nimeamini wewe una matatizo yaani umenichekesha sana ahahaha
kweli wewe binamu hamnazo nithamehe bure
 
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
mpwa summary bana!😀
umekuwa lijendi?
 
hahahah Xpin nimeamini wewe una matatizo yaani umenichekesha sana ahahaha
kweli wewe binamu hamnazo nithamehe bure

Tatizo unacheka afu unasahau kugonga senksi! Hahaha! Mpango utafanikiwa lakini! We subiri.
 
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
mpwa summary bana!😀
umekuwa lijendi?

Tukio la kihistoria hilo mpwa! Huyu binti wewe unapaswa kujifanya mchumba wake ili waifu amuone!
 
Binamu jana usiku mida ya saa tatu nimetembelewa na mgeni wa kiume ni kweli alikuwa rafiki wa kawaida kabisa kuanzia kindagateni mpaka new life jeneresheni aaha kwanza nikashituka kidogo mzee alikuwa room kapumzika maana hatujaonana muda mrefu saaaaaaaaaaana
jamaa kakaa sioni dalili za kuondoka nikamwambia tena na shem wako karudi toka huko alipokuwa akasema ohh itakuwa vizuri nimfahamu
nikaenda kumwamsha nikamwambia kuna rafiki yangu anataka kukusalimia akaulize wa kike wa kiume na kwa nini usiku huu ?..nikamwambia wa kiume ..duh mbona alinichenjia kinoma niliulizwa maswali kama niko police
Ilibidi nianze kutoa maelezo marefu mengine sikumbuki ndo akaamka kumsalimia bahati nzuri mgeni alikuwa muongeaji sana akaongelea mambo ya business ,mipira na siasa kisha akaondoka zake
..sijajua kama leo nitatwangwa tena maswali juu ya ujio wa huyo rafiki
 
Tukio la kihistoria hilo mpwa! Huyu binti wewe unapaswa kujifanya mchumba wake ili waifu amuone!

he he he he!
mpwaaaaaaaaaaaaa!
jana zero hapakuwa na mtu kabisa,meneja amekuulizia sana
 
mpwa punguza kidogo maandishi unapunguza spidi yangu ya kufanta kazi!
 
Hahaha! Ulimwalika au alikuja kivyakevyake? Unajitafutia balaa wewe. Ungewasiliana na Carmel kwanza akupige msasa. LOL!
 
he he he he!
mpwaaaaaaaaaaaaa!
jana zero hapakuwa na mtu kabisa,meneja amekuulizia sana

Hahaha! Nilimwomba udhuru, kuna PT nilikuwa naenda fanya home. Ningekuwa na serengeti kichwani wife angejua ni mapombe yanaongea.
 
Hahaha! Ulimwalika au alikuja kivyakevyake? Unajitafutia balaa wewe. Ungewasiliana na Carmel kwanza akupige msasa. LOL!
sijamwalika nilishituka tu hodi ..mala huyu ndo matatizo unaenda kwa watu bila apointment ....
 
mpwa punguza kidogo maandishi unapunguza spidi yangu ya kufanta kazi!

Hahaha! Naona vikao na kina YoYo vimeshakuletea madhara! Bantaaaa!
 
Hahaha! Nilimwomba udhuru, kuna PT nilikuwa naenda fanya home. Ningekuwa na serengeti kichwani wife angejua ni mapombe yanaongea.
ha ha ha!haya bwana,kuna kaiventi kanatarajia kufanyika maeneo ya chawote tar 9/12/2009.
wewe ni mdau
 
sijamwalika nilishituka tu hodi ..mala huyu ndo matatizo unaenda kwa watu bila apointment ....
Hahaha! Huko nyuma alishawahi japo kukutongoza? Kama ndiyo basi ujue alikuwa anataka kutesti zali kwa mara nyingine.
 
ha ha ha!haya bwana,kuna kaiventi kanatarajia kufanyika maeneo ya chawote tar 9/12/2009.
wewe ni mdau

Mahudhurio yangu yatategemea sana availability ya serengeti za baridi, mdudu na kina eliza.
 
Mahudhurio yangu yatategemea sana availability ya serengeti za baridi, mdudu na kina eliza.
consider it done!
meanwhile,cheki na signature yangu!kiashiria cha ujio....!sio kama ule wa beckham ndani ya real madrid!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…