Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Hahahahahaa,Hayo ndio maisha Carmel,
Lakini hebu naomba usitudhalilishe wapwa na mabinamu.Muone haraka sana invizibo ili aku-bold.

For the second time: Whats the tittle of this thread ZD? Am chairman dont forget!
 
we unahitaji ushauri nasaha wa mamaa la carmel! Yaani urafiki wa opposote sex ni illegal kwenye mahusiano? My! My! My! Kweli wivu ukizidi unaleta kero!

tatizo hapa ni kwamba kwanini hakum introduce tangu mwanzo? mume ninayeongea nae kila siku kuhusu yaliyotokea siku nzima kama amepata rafiki kweli na hakuna longo longo lazima atasema tu na atakuwa anatoa updates urafiki unavyoendelea kukua..yaani hata siku tukikutana inakuwa ni "mwaya nimesikia sana habari zako toka kwa my husband wangu, nafurahi kukutana na wewe leo..." na mambo kama hayo,mi hapo wala sina shida na mtu.
sio ati "rafiki wa karibu" kutoka no where tena ghafla bin vuup ...!
 
Mwenyekiti hilo ni kwa maslahi ya taifa ujue!

Nimekugongea Senksi mpwa, hiyo haikuwa off topic kabisa. Saidia ZD anataka kukwepesha mada. Anajua kwa sababu mwenyekiti ni mchumba wake hatapata bani!
 
Hahahahahaa,Hayo ndio maisha Carmel,
Lakini hebu naomba usitudhalilishe wapwa na mabinamu.Muone haraka sana invizibo ili aku-bold.
ha ha haaaaaaa, kuna vitu vya muhimu zaidi kwa sasa zaidi ya kuboldiwa. Si unajua tena najiandaa kwenda moshi kuhesabiwa. Ila usijali , bold yangu itakuwa ya kihistoria, yani tarehe 1.1.2010.
 
tatizo hapa ni kwamba kwanini hakum introduce tangu mwanzo? mume ninayeongea nae kila siku kuhusu yaliyotokea siku nzima kama amepata rafiki kweli na hakuna longo longo lazima atasema tu na atakuwa anatoa updates urafiki unavyoendelea kukua..yaani hata siku tukikutana inakuwa ni "mwaya nimesikia sana habari zako toka kwa my husband wangu, nafurahi kukutana na wewe leo..." na mambo kama hayo,mi hapo wala sina shida na mtu.
sio ati "rafiki wa karibu" kutoka no where tena ghafla bin vuup ...!

Ahaa kumbe tatizo ni time ya utambulisho siyo? Kama nimefahamiana naye siku za karibuni baada ya kupata kazi sehemu nyingine? Au kama ni mfanyabiashara, si unajua mambo ya biashara? at any time unapata contacts mpya zinazokuzalishia marafiki wapya. Inakuwaje hapo? Utakuwa tayari kutambulishwa sasa?
 
ha ha haaaaaaa, kuna vitu vya muhimu zaidi kwa sasa zaidi ya kuboldiwa. Si unajua tena najiandaa kwenda moshi kuhesabiwa. Ila usijali , bold yangu itakuwa ya kihistoria, yani tarehe 1.1.2010.

Carmel for the first time: What is the title of this thread?
 
Nimekugongea Senksi mpwa, hiyo haikuwa off topic kabisa. Saidia ZD anataka kukwepesha mada. Anajua kwa sababu mwenyekiti ni mchumba wake hatapata bani!
Halafu mwenyekiti anajipendelea kweli,yeye ofutopiki anaruhusiwa lakini wengine anatubani!
 
Back
Top Bottom