Rafiki maskini ni mikosi

Wabara wengi ushamba wenu uko hapa mkipata pesa , wengi washamba sana ..
Sio wote bhana tuombe Msamaha ni hao waliotoka kwenye maisha duni wao wanaamini Hela ndio kila kitu hapo hela zenyewe anazozungumzia ni hizo zinazokatwa PAYE...hana mradi wala nini mshahara ukichelewa analialia humu..
 
Wapige kama utakavyo ila ujue kuna vitu utakosa kujifunza au hujui mtu mwenye matatizo huona fursa za biashara tofauti na yule asiye na matitizo
 
Jifunze kutoka kwa kila mtu unda nao urafiki ,unaweza ukajua kosa alilolifanya hadi kumpelekea kuwa masikini ukaliepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…