Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
And vice versa to you ...na huyo unaye mtaka wewe tajiri atakuwa na wewe maskini naye ataona tatizo kama uonavyo wewe.Yaani katika maisha yangu urafiki na masikini hapana aisee yaani Kwa pesa hizi nilizonazo halafu niwe na urafiki na masikini aniambukize njaa aisee hapana. Hivi nyie masikini kwanini msipambane na nyie muwe kama Mimi.
Kila siku mnalialia njaa tu baada ya kupambana mnakaa kulialia Mimi sio mnafiki. Nawaambia ukweli pambaneni Mimi huwa nikigundua masikini anataka urafiki na Mimi namzaba kibao maana ananiletea mikosi.