Rafiki maskini ni mikosi

And vice versa to you ...na huyo unaye mtaka wewe tajiri atakuwa na wewe maskini naye ataona tatizo kama uonavyo wewe.
 
Wabara wengi ushamba wenu uko hapa mkipata pesa , wengi washamba sana ..
Baelezee...huku kwetu mtu anakuja na kobazi kabeba zile mifuko za mikeka ndani imejaa pesa. Yuko na baiskeli yake tu.

Au viongozi wanajichanganya sana na watu. Kumuona Katibu mkuu au waziri ni jambo dogo sana tofauti na bara Hadi sekretari wa mjumbe anataka pwentimenti hauwezimpigia simu kizembe

Tajiri JF nzima ni Kidukulilo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…