Hahahahaha pm interview kama ya yule somebody morata tihtihtih [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thread yako inaonesha unahitaji rafiki mmoja wa kike
Asa wakija wengi huko PM kutakua na quick interview kumpata huyo mmoja mwenye vigezo vyako ama?
Sasa mkuu marafiki tunawataka lakini tatizo hatujasoma[emoji24]
hatujui discution ,hatujafika university nk
Lakini marafiki tunataka[emoji26]
Go East, Go West but home is the best. Unaweza kununua nyumba popote pale duniani lakini huwezi kununua nyumbani.Tafuta huko unapoishi
mkuu kuna mwaka fulani uliweka bango la kuhitaji rafiki wa kike hukufanikiwa ? mliishia wapi ? hakukidhi vigezo ?
dizaini kaumri kamesogea, huna familia ? najitahidi sana nisiruke steji nisije umbuka.
haka kambinu ulikokatumia kuonekana huishi tz katakusaidia, all the best.
Hiyo haina mahusiano na ninachohitaji na hata nikikuambia hasaidii kitu kwakuwa huwezi prove kama ni kweli au la. Chamsingi nahitaji rafiki wa kawaida wa kike mwenye kujielewa kuwa yeye ni mwanamke haswa.Kwani mkuu we uko nchi gani
Niunganishe nae plsNjia hii ya kutafuta mchumba nimeipenda ngoja na mimi niijaribu!
Thread yako inaonesha unahitaji rafiki mmoja wa kike
Asa wakija wengi huko PM kutakua na quick interview kumpata huyo mmoja mwenye vigezo vyako ama?
haaahaaaa, kweli nimewiwa ndugu....eti umewiwa?....teh teh...ngoja aje Mbitiyaza
Uwe tayari kurusha miamala ya bundle ili tupate video calls clear
Ahahaa acha hizo bnaAsiyekuwa na uwezo hata wa kuhimili bando huyo hana sifa. Ukiwa mtegemezi hata wa bando maana yake wewe hujitambui sihitaji rafiki asiyejitambua.
Ni pm kwa hiyo biashara ya mafutaAhahaa acha hizo bna