Rafiki wa kawaida wa kike anahitajika

Rafiki wa kawaida wa kike anahitajika

nyakanazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
307
Reaction score
396
Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida. Awe na sifa za kuwa na brain nzuri inayoweza kushiriki kwenye critical discussions ya yeyote tutakayojaaliwa kuzungumzia ndani ya urafiki wetu. Awe anayejitambua huu ni urafiki wa kawaida na mengine ni majaaliwa. Huu ni urafiki wa online tu, kuchat na ikiwezekana kupigiana simu ikibidi kama ufafanuzi wa jambo fulani lahitajika. Nataka kujua mambo mengu juu ya home Tz lakini nimewiwa nipitie kwa rafiki wa kike.
 
mkuu kuna mwaka fulani uliweka bango la kuhitaji rafiki wa kike hukufanikiwa ? mliishia wapi ? hakukidhi vigezo ?
dizaini kaumri kamesogea, huna familia ? najitahidi sana nisiruke steji nisije umbuka.

haka kambinu ulikokatumia kuonekana huishi tz katakusaidia, all the best.
 
Sasa mkuu marafiki tunawataka lakini tatizo hatujasoma[emoji24]

hatujui discution ,hatujafika university nk
Lakini marafiki tunataka[emoji26]

Tafadhali usiniweke maneno yako mdomoni mwangu. Mimi msijasema kuwa nahitaji msomi wa kiwango fulani au sihitaji asiyesoma la. Uwezo wa kuelewa mambo ya kawaida ya maisha hauhitaji elimu ya darasani tu bali waweza kuwa na elimu ya kuzaliwa ukamshida aliyeingia darasani. Machifu na watawala wetu wa enzi hizo hawakusoma elimu ya darasani lakini walikuwa na busara sana kuliko viongozi wetu wa leo. Shekhe Abeid Aman Karume hakusoma elimu ya Kizungu, wiki iliyopita nilipita nikitokea Nungwi nikaoneshwa nyumba alizojenga kwaajili ya watu masikini na mambo mengine mengi kama shirika la meli Zanzibar na TV ya taifa alianzisha vitu ambavyo hakuna hata mmoja ya waliomfuatia ame either endeleza au kuanzisha vipya. Kila anayejiona ni mwanamke anayestahili anaweza akajaribu kuwa rafiki yangu ila naongezea nahitaji mtu anayejiamini kuwa yeye ni mwanamke sifa ambayo naona wewe umeikosa.
 
mkuu kuna mwaka fulani uliweka bango la kuhitaji rafiki wa kike hukufanikiwa ? mliishia wapi ? hakukidhi vigezo ?
dizaini kaumri kamesogea, huna familia ? najitahidi sana nisiruke steji nisije umbuka.

haka kambinu ulikokatumia kuonekana huishi tz katakusaidia, all the best.

Wtz tunashida sana, mbona unaning'ang'aniza kuwa nahitaji mwanamke kimapenzi? Mimi siko huko. Kwani hata kama mwanzoni nilitokea mtandaoni kuhitaji mwanamke kwani kuna limit ya kuja mtandaoni na kutafuta mwanamke, give me a break please. Halafu mwanamke kukupenda hakuangalii unaishi wapi? Jinsi nilivyomwanaume rijali na sifa za kiume nilizonazo mimi si wa kukosa mpenzi nikiamua. Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida that is what i exactly need.
 
Kwani mkuu we uko nchi gani
Hiyo haina mahusiano na ninachohitaji na hata nikikuambia hasaidii kitu kwakuwa huwezi prove kama ni kweli au la. Chamsingi nahitaji rafiki wa kawaida wa kike mwenye kujielewa kuwa yeye ni mwanamke haswa.
 
Thread yako inaonesha unahitaji rafiki mmoja wa kike

Asa wakija wengi huko PM kutakua na quick interview kumpata huyo mmoja mwenye vigezo vyako ama?

Kila Shetani na Mbuyu wake. Ikitangazwa kazi usianze kujifelisha wewe mwenyewe kuwa huwezi pata eti kwakuwa kuna wengi watakaoomba, huenda kila mtu akawa namawazo kama yako na asipatikane muombaji, hivyo wewe sema you are the one and you are the right person that the guy is looking for, know your value, know how to market yourself in this fierce competitive global market environment and make application.
 
Uwe tayari kurusha miamala ya bundle ili tupate video calls clear

Asiyekuwa na uwezo hata wa kuhimili bando huyo hana sifa. Ukiwa mtegemezi hata wa bando maana yake wewe hujitambui sihitaji rafiki asiyejitambua.
 
Back
Top Bottom