Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida. Awe na sifa za kuwa na brain nzuri inayoweza kushiriki kwenye critical discussions ya yeyote tutakayojaaliwa kuzungumzia ndani ya urafiki wetu. Awe anayejitambua huu ni urafiki wa kawaida na mengine ni majaaliwa. Huu ni urafiki wa online tu, kuchat na ikiwezekana kupigiana simu ikibidi kama ufafanuzi wa jambo fulani lahitajika. Nataka kujua mambo mengu juu ya home Tz lakini nimewiwa nipitie kwa rafiki wa kike.