Rafiki wa mume wangu ananitaka

Rafiki wa mume wangu ananitaka

Wanawake wengine bwana sometimes vimeo ..Unakurupuka tu bila shida kabisa kisa ni shemeji yako.. Hebu fikiria umetoka kazini kwako mumeo amekukuta na jamaa hapo hata kama ni rafiki ake inakuwaje hata kama jamaa hatasema lolote nijuavyo mimi ingetakiwa unampa taarifa mumeo mama ..mpigie simu mwambie rafikiako kanipigia simu kasema anashida anataka kuongea na mimi sehemu fulani ..msikilize mumeo anakushauri nini na ndo ufanye uamuzi ..kwa mtazamo wangu wa fasta fasta wewe mwenyewe unamsupport jamaa kufanya anachokifanya ...na kwa infidelity characters ni kwamba unamegeka kwa asilimia 85% sema jamaa inawezekana anakosea DIY step by step ....

Kwa upande wangu simlaumu jamaa nakulaumu wewe....
 
1. sikuingia guest house.
2. sikufanya nae LOLOTE

tulipokutana ni restaurant pia ambako ni sehemu ya wazi sana. hiyo guest iko mbali na hapo yeye ndo alisema kwamba alichukua chumba huko upo hapo!

pole sana Kisasangwe hii mambo ya kutongoza tongoza ..na wewe kwanini ulikubali kumfata huko wakati ni family friend kwanza ungemwambia mkutane kwake au kwako akigoma jua hana nia njema ila kwa vile jambo limetokea ..msimamo wako ndio utakuokoa ,
 
mnaozungumza humu ndani hamuelewi kitu kimoja....

mwanamke hata awe mapepe kiasi gani,huwezi kumtongoza kama unamjua mumewe
na unamheshimu na kumuogopa....

huyo shemeji hamheshimu rafiki yake....

ana dharau kwa rafiki yake

Uko sahihi the Boss, tatizo ni pale rafiki mwenyewe anapokuwa ni wale wa dizaini ya kuhesabu vichwa (kitomb...), yaani yeye akiona mwanamke tu anawaza kumt..a. Rafiki wa hivyo hatajali suala la kukuheshimu. Muhimu hapa ni sisi wenyewe kuchagua marafiki wa ukweli - kama unaona rafiki yako anatabia ambazo haziendani na zako ni bora ukamkwepa mapemaaa. Unaweza kukuta hawa wote wamekutana yaani wote ni wahesabu vichwa, hivyo wanajuana mambo yao (wanavyosaliti ndoa zao) ndo maana jamaa akamua kutaka kumzunguka rafiki yake.
 
hii nayo ni kali ebu angalia uhusiano wake na huyo mumeo yawezekana na mumeo ametafuna wa kwake sasa anataka lipiza kisasi kazi kwako mtunzie heshima mumeo na uache kabisa mialiko sehemu hatarishi maana hapo ulipopewa miadi unapajua na wajua kuna nyumba ya kulala wenyeji na wageni sasa mke wamtu waenda hapo kweli mumeo angekukuta ingekuwa shughuli. TC
 
mimi binafsi siangalii kama mke wangu ni malaya au sio malaya
ilimradi wewe ni rafiki yangu na umemtongoza,basi urafiki unakufa

nini nitafanya juu ya wife hayo ni maamuzi mengine
 
mimi binafsi siangalii kama mke wangu ni malaya au sio malaya
ilimradi wewe ni rafiki yangu na umemtongoza,basi urafiki unakufa

nini nitafanya juu ya wife hayo ni maamuzi mengine

Ni sawa kabisa The Boss
kama unaheshimu urafiki wenu kwanini utake kumzunguka rafiki yako
Huu ni ushetani uliopitiliza .
 
Ni sawa kabisa The Boss
kama unaheshimu urafiki wenu kwanini utake kumzunguka rafiki yako
Huu ni ushetani uliopitiliza .

naona watu hawaelewi hapa...
nilivyolelewa mimi,mwanaume una majukumu makubwa kuliko
mwanamke......

kwetu sisi ni mwiko hata kutembea na ex wife wa rafiki yako..
achilia mbali mkewe wa kwenye ndoa.......
 
Muhimu hapa jamani ni kwamba tuwe makini na marafiki zetu tunaowachagua.Hili ni muhimu kwa wote -wanaume kwa wanawake. Mi siamini kwamba kuna mtu asiyejua tabia za rafiki yake-ziwe nzuri au mbaya. Kuna principle moja ya marafiki ina-work sana.
Kwa kina baba:kama una rafiki yako ni kitomb.., basi ujue kuna uwezekano mkubwa siku moja atamtokea mke wako.
Kwa kina mama: kama una rafiki yako anatabia ya kutoka toka kwenye uhusiano wake (wa ndoa au mapenzi tu), basi ujue kuna uwezekano mkubwa siku moja atajirengesha kwa mr. wako.
Mi bado naamini (kutoka na story ya huyu dada),ukichunguza sana utakuta hata mume wake ni kiwembe vilevile.
 
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.

kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.

Fanya mtego,
Mkubalie, mpange siku,
Mtaarifu Mr. wako,
Tangulia aanze kukunawa halafu mi nitafika na mumeo nikiwa na Video Camera.
 
wanaume wajanja hutongoza wake wa marafiki ambapo wanajua huyo ni rahisi kumpata angejua hawezi kukupata wala asingesumbuka.

nimerudia kusoma kama mara tano, sikuelewa naona maRomance yamezidi.......aiseee
 
Hivi rafiki wa mume wako inakuwaje awe anakupigia wewe simu?

Kwangu haimake sense hata kidogo. Rafiki wa mume ni rafiki yake yeye na ibaki hivyo. Na rafiki zako wewe mwanamke wasiwe na mawasiliano na mume wako na ibaki hivyo

Teacher,

Bado hii imekaa ki-kufikirika fikirika tu? In reality sina hakika kama huo msimamo wako unatekelezeka!!
 
Naomba jibu jamani,

Kwamba mwanamke hawezi kukutana na rafiki wa mume wake hadi aombe ruhusa?

Na mwanamumeje? Akitaka kukutana na mke wa rafiki yake ataomba ruhusa pia?
 
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.

kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.

Wewe dada umeolewa na unampenda mmeo? Maneno niliyoyared angalia sana...na huyo jamaa ameona maybe uko weak sana ndo maana hata ndoano hakurusha amelipia kabisa chumba? kwanza kutoka kazini mapema kwanda kukutana na mtu mwingine? je, kama by mistake husband wako angekuona hali akijua uko kazini ingekuwaje? Usikaribishe matatizo...mwambie mmeo faster maana kuna Ukimwi pia...pia hata kama humjui usitoe mwili wako...kumbuka...zimwi likujualo halikuli likakwisha......
 
Naomba uelewe kuwa huyo rafiki wa mumeo ni mwanaume kama wanaume wengine , je katika maisha yako ya ndoa hujawahi kutongozwa na
mwanaume yeyote? kama jibu ni ndio je ulitumia njia gani kumuepuka? naomba utumie njia ya kukutaa na kuonyesha msimamo wako kama
kama mke wa mtu kuliko kijiweka adhalani katika suala kama hilo. kwani kama mke unapashwa kuwa msiri ili ulinde heshima ya familia yako, vinginevyo mumeo hatakuwa na rafiki , kwani mwanamke yeyote anayetunzwa upendeza na anaweza kumvutia mtu yeyote kwa tamaa ya mwili lakini msimamo wako tu ndio unahitajika kulinda ndoa na familia yako kwa ujumla.
 
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtung
i, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.

kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.

hapo kwenye red, ulimwambia mumeo una miadi na rafiki yake?
 
Naomba jibu jamani,

Kwamba mwanamke hawezi kukutana na rafiki wa mume wake hadi aombe ruhusa?

Na mwanamumeje? Akitaka kukutana na mke wa rafiki yake ataomba ruhusa pia?

...dddaaaaahhhh? yaani mke wangu akakutane na rafiki yangu bila kuniambia?
No way bana, ...'jambo nisilopenda kufanyiwa, sitamfanyia!'

Sitakutana kwa siri na rafiki yake, nitamjulisha nakwenda kuonana na rafiki yake.
Kuna siri gani kwani kama sio kujitafutia kuondoa uaminifu?!
 
Kwa jinsi nlivyoisomasoma hii sredi mh siielewi! Aanze tu kukuomba bila sababu yoyote? Hebu jichungue kwanza wewe je katika ushemeji wenu hakuna namna ambayo umekuwa kama ukimwonyesha 'green light'? Hata kwa bahati mbaya ile ya 'ushemeji"? Pengine kaitafsifi ndivy sivyo! Maana nijuavyo mie mwanaume mwenye guts ya kufanya hayo ya shemejio ni yule asiyekufahamu vizuri.Kama sivyo basi chungua 'mumeo' anakuzungumzaje kwa huyo rafikiyek
 
Back
Top Bottom