Rafiki Yangu above 30 Hana Nguo za Heshima, Kabati Lake Limejaa Jeans!

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.

Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !

Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!

Jamaa akasema, Hakuna shida

Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣

Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!

Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?

Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!

Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
 
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako ni kama kwenda kufanya mtihani bila kujiandaa! 😂😂

Gentleman,
kwani harusini hawaruhusu uvaaji wa t-shirt na jeans au ni athari ya dhana iliyojengeka miongoni mwa fikra za wengi?

halafu,
kwani jeans sio vazi la heshima?🐒
 
Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.

Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako ni kama kwenda kufanya mtihani bila kujiandaa! 😂😂

Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!

Jamaa akasema, Hakuna shida

Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣

Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!

Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?

Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!

Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Duuh hatari sana aiseee ,amefeli.
 
Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.

Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !

Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!

Jamaa akasema, Hakuna shida

Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣

Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!

Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?

Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!

Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Kama analinda mgongo wake, ni hustler ela anayo sioni shida.
Mimi nanunuaga suti wakati wa matukio na tukio likiisha siivai tena itaoigwa vumbi mpaka niigawe same to moka
 
Kama kijana au Mvulana au Mzee below 65. Hakikisha hukosi suti zako mbili maridadi, nyeusi moja na Grey au rangi ya Panya. Umemaliza. Mashati yako 4/5 rangi tofauti. Umemaliza. Lazima utaonekana mtanashati. Ukiwa na pair zako za Moka mbili au tatu umemaliza. Wanaume, sio watu wa kujaza makabati ya nguo.

Ukitaka kwenda mbali zaidi, kwenye dhifa kama Harusini wakuone wewe ni DON, hakikisha pia uko na Bullet/Cologne kwa ajili ya matukio muhimu tu kama hayo.

Mara zote niwapo kwenye dhifa kama hizo, Nafarijika kupokea Complements kama zote, "Kaka unanukia vizuri" unaishia kutabasamu tu.
 
Live the life you love
Love the life you live,

Ishi maisha yako,fanya ukipendacho,usiishi kwa kutaka kumfurahisha mwingine,

Hata kama umri wako ni miaka 80 ila unapenda kuvaa jeans na
T-shirt,vaa coz haya ni maisha yako,this is your life,be yourself.
 
Back
Top Bottom