BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Ukitaka kujua thamani ya nguo tembelea mochwari!
Pale redstone babu yangu kipenzi ndege mdinya 😂Hiyo sherehe mlienda kule Siha?
Zari the boss lady aliwafukuza wote walio vaa t-shirt na jeans kwenye jambo lake, juzi tu hapa alidai sio heshima kwenda kwenye hafla na hayo mavazi ya kuendea discoGentleman,
kwani harusini hawaruhusu uvaaji wa t-shirt na jeans au ni athari ya dhana iliyojengeka miongoni mwa fikra za wengi?
halafu,
kwani jeans sio vazi la heshima?🐒
Itakuwa Bukoba hiyo, Nina jeans nyingi hata idadi sijui, Nina suti pia. Bahati nzuri kazi zangu sehemu kubwa ilikuwa field hivyo suti zinasubiri matukio makubwa lakini nyingi zinaishia kuvaliwa mara moja au kutovaa kabisa. Kwangu jeans ni vazi la heshima kabisa.Mwenzangu mmoja alifariki, wakati najipanga kwenda kuaga nikaona tangazo wanaume wote mvae suti.Hiyo sherehe mlienda kule Siha?
Mwenyewe haoni shida..muache avae anavyojisikia...aibu utaona wewe...Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
NakaziaUna complicate maisha kwa black mwenzio ila nina uhakika rafiki yako angekuwa ni mzungu au mchina ungeona sawa tu.
Gentleman, vaa mavazi ya heshima.Gentleman,
kwani harusini hawaruhusu uvaaji wa t-shirt na jeans au ni athari ya dhana iliyojengeka miongoni mwa fikra za wengi?
halafu,
kwani jeans sio vazi la heshima?🐒

Sijavaa suruali ya kitambaa tangu 2008 na sitovaa maishani mwanguSuruali za kitambaa nikivaa naona kama najichora😅 bila jeans au cargo pant sitoki.
Wanaitwa University Corner (UVC). Ngoma inaitwa T-shirt na Jeans ilifanywa pale kwa Master Jkuna wimbo wa kitambo sijui kaimba nani ila alikua anasifia T-shirt na Jeans
Dah ukizoea jeans ningumu sanakupiga kitambaa mimi hatazileza kodrai tu zina gomaSijavaa suruali ya kitambaa tangu 2008 na sitovaa maishani mwangu
Jeans inafiti popote, wewe ndio hujui kuvaa.Jeans kuna maeneo haifiti...
Jeans hazivaliwi na wajinga wajinga.Jinsi sjawahi kuzikubali kabsa
UpuuziJeans hazivaliwi na wajinga wajinga.
mimi navaa vazi lolote, kokote ilmradi ni safi, ila koti la kuwapumbaza kidogo nipo nalo standby kokote & in office.Gentleman, vaa mavazi ya heshima.
Acha utozi![]()
Hahahhhh binafsi hua siko comfortable sana niki compare na wakati nimevaa kitambaa