LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Ahahahahah...kwanini mkuu??Mimi nikivaa suti ntajikwaaa

Yeahh hii safi.mimi navaa vazi lolote, kokote ilmradi ni safi, ila koti la kuwapumbaza kidogo nipo nalo standby kokote & in office.
But kamwe siwezi kuumiza kichwa kuhusu kuvaa au mwingine kavaaje 🐒
Iwe na ududu fulani hiv kama kombati za jeshi na rangi matata , chini unaweka ududu kama huu👇Yes. Ndio maana mimi sipend kuvaa suti american.
Nitajaribu nipate kaunda moja, nione itanipa reaction gani
AhahqhahahahIwe na ududu fulani hiv kama kombati za jeshi na rangi matata , chini unaweka ududu kama huu👇View attachment 3694017

tuma picha za hizo jens na "nguo unazoita za heshima"Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Unamshangaa huyo? Mimi nina 50 minus 2 ila similiki suti hata piece 1 na sio kwamba siwez kununua ni sipendi tu. Kama kuna umuhimu wa kucaa huwa na nunua na nikimaliza event nagawa!Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Unataka na wewe uonekane Usalama? Nunuwa kaunda nyeusi na bage ya Adamu na Hawa.Yes. Ndio maana mimi sipend kuvaa suti american.
Nitajaribu nipate kaunda moja, nione itanipa reaction gani
Unatushona.Unamshangaa huyo? Mimi nina 50 minus 2 ila similiki suti hata piece 1 na sio kwamba siwez kununua ni sipendi tu. Kama kuna umuhimu wa kucaa huwa na nunua na nikimaliza event nagawa!
Sio mtoto kama wewe!Unatushona.
Rafiki mnafiki kama wewe hufai kabisa, yaani umepekuwa kabati la rafiki yako halafu unakuja JF kuleta umbeya, sasa sijui hapo mtaani Hali ikoje!Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Wacha wee!!Sio mtoto kama wewe!
Mkui sijisikii confortable.sijawahi kuvaa na sitavaa sutiAhahahahah...kwanini mkuu??
Utavaa tu hilo halikwepekiMkui sijisikii confortable.sijawahi kuvaa na sitavaa suti
Ukikua utaelewa. Nimefanya kazi ilio nihitaji kuvaa suti kwa miaka 14 mpaka 2017 nilipo amua kupumzika.Wacha wee!!
Unajua vazi linategemea na nafasi ya muhusika kwenye Sherehe yenyeweNimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Sivai na hakuna wakuniambia nivae..im a free manUtavaa tu hilo halikwepeki
Siku itatokea tu. Na sio kwa kupenda itakuaSivai na hakuna wakuniambia nivae..im a free man
Pensi ni vazi la umri?Kuna age ukifika mavazi flani inabidi uyaache mfano, makaptula, pensi. 😊