Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Suti ni tamu bwashee uwe umeshiba, Ila kaunda ina watu wake ukijichanganya 😆Kuna kaunda suti ni kali sana bwashee suti naona kama kila mtu anavaa imezoeleka mno🤔
Suti ni tamu bwashee uwe umeshiba, Ila kaunda ina watu wake ukijichanganya 😆Kuna kaunda suti ni kali sana bwashee suti naona kama kila mtu anavaa imezoeleka mno🤔
Morio shikamootuma picha za hizo jens na "nguo unazoita za heshima"
Nyie mnavaa madera alafu mnachomekea kwenye bikini , zinatamanisha wanaume kiuliko aliyevaa kaptula na chupihaionekani.
Ninyi mnava sketi ndefu na hijabu juu, ila mstari wa chupi na ujazo wa papuchi kwa mbele unaonekana, ipi bora, jeans au hayo manguo marefu yanayobana na kuchora papuchi na mikanda ya chupi?
Niwache vinjunga mkuu 🤣Kuna age ukifika mavazi flani inabidi uyaache mfano, makaptula, pensi. 😊
Ashonewe kwa nguvu shati la kitenge na suruali ya kitambaa yenye celebrations.Hamna namna!Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Babanguu Moise jiografiAshonewe kwa nguvu shati la kitenge na suruali ya kitambaa yenye celebrations.Hamna namna!
Na wewe ni mimi,, vitambaa vipo kushoto kabisaHuyo jamaa ndo Mimi ingawa nna Makoti ya suti ila sina suruali ya kitambaa wala moka
Una mashati ya viscose na suruali za vitambaa mmeku!?Babanguu Moise jiografi
Mpk nawaza ikatokea nimepigiwa simu usiku kesho interview itakuwa jau 😅Na wewe ni mimi,, vitambaa vipo kushoto kabisa
Vitambaa hamna kabisa aiseeMpk nawaza ikatokea nimepigiwa simu usiku kesho interview itakuwa jau 😅
Mashati ninayo safi kabisa, jeupe bluu, bluu ya nmb, light pink, jeusi kama yote,Una mashati ya viscose na suruali za vitambaa mmeku!?
Ifike mahala ziondolewe 😅Vitambaa hamna kabisa aisee
Sawasawa liganga la mahela.Mashati ninayo safi kabisa, jeupe bluu, bluu ya nmb, light pink, jeusi kama yote,
Jinzi nyeusi kama zote labda bluu kama mbili
Raba na sandals za kutosha
Job vazi lolote Cha msingi mauzo yaonekane babanguuuu 🤣
Ko vitambaa no labda Makoti ya suti ndo ninayo pia ila sio suruali
Zinaweza kutolewa ila kufutika ni kipengele .. kuna jamaa yaani hatta akivaa jeans zinaonekana kama kitambaaIfike mahala ziondolewe 😅
Hahahaha nipe hints mzee wanguSawasawa liganga la mahela.
Naam.... BruhZinaweza kutolewa ila kufutika ni kipengele .. kuna jamaa yaani hatta akivaa jeans zinaonekana kama kitambaa