Gentleman,Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako ni kama kwenda kufanya mtihani bila kujiandaa! 😂😂
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Duuh hatari sana aiseee ,amefeli.Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako ni kama kwenda kufanya mtihani bila kujiandaa! 😂😂
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Hiyo sherehe mlienda kule Siha?Huyo jamaa ndo Mimi ingawa nna Makoti ya suti ila sina suruali ya kitambaa wala moka
Kama analinda mgongo wake, ni hustler ela anayo sioni shida.Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Halafu naona kama kaunda zimetulia kuliko suti ila kwa wale wembamba sio wale vifutuKama analinda mgongo wake, ni hustler ela anayo sioni shida.
Mimi nanunuaga suti wakati wa matukio na tukio likiisha siivai tena itaoigwa vumbi mpaka niigawe same to moka
Kumbe ukiwa na 30 unavaa suti next time utalala gesti na vitambaa vyakoCha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
✅Live the life you love
Love the life you live,
Ishi maisha yako,fanya ukipendacho,usiishi kwa kutaka kumfurahisha mwingine,
Hata kama umri wako ni miaka 80 ila unapenda kuvaa jeans na
T-shirt,vaa coz haya ni maisha yako,this is your life,be yourself.