Madima
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 351
- 300
Rafiki yangu mmoja anapiga mtungi kawaida ila pia ni hardworking sana na anajali tu familia yake fresh, shida yake sometimes akipiga mtungi na anaweza kupita na yoyote then kesho anaanza kujuta.
Juzi kati akapita na jimama flan hivi kitaa baada ya siku kadhaa dalili za gono hizi hapa ikabidi akacheki hospital na ikawa ni kweli so akapewa dawa aanze kutumia na akashauriwa ampe na mwenzi wake.
Msala unakuja kwamba atampa vipi dawa za gono mkewe na atamwambia kwamba ni dawa za ugonjwa gani maana najua mke hawezi kumeza tu dawa bila ile karatasi ya daktari.
Tumshauri mwamba ajitoe vipi kwenye hii ngori kama waandamizi.