toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
hahaha daaahKama kawaida ya wana JF matatizo ni kwa rafiki zetu na ndugu zetu, sisi huwa hatuna matatizo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha daaahKama kawaida ya wana JF matatizo ni kwa rafiki zetu na ndugu zetu, sisi huwa hatuna matatizo kabisa.
Ayayushe dawa na maji (achanganye kwenye maji) kisha amwambie mkewe nimekutengenezea kinywaji swafi, funga macho nikunyweshe. Akifunga anamnywesha then anampa na juisi anashushia.🫂Rafiki yangu mmoja anapiga mtungi kawaida ila pia ni hardworking sana na anajali tu familia yake fresh, shida yake sometimes akipiga mtungi na anaweza kupita na yoyote then kesho anaanza kujuta.
Juzi kati akapita na jimama flan hivi kitaa baada ya siku kadhaa dalili za gono hizi hapa ikabidi akacheki hospital na ikawa ni kweli so akapewa dawa aanze kutumia na akashauriwa ampe na mwenzi wake.
Msala unakuja kwamba atampa vipi dawa za gono mkewe na atamwambia kwamba ni dawa za ugonjwa gani maana najua mke hawezi kumeza tu dawa bila ile karatasi ya daktari.
Tumshauri mwamba ajitoe vipi kwenye hii ngori kama waandamizi.
Pyumbu errosion? Hah hah hah dah watu mpo vizuri kwenye kusolve kesiJioni hii hii aende kwenye hospital, amtafute kijana ambaye yupo intern!. Ampange fresh! Amwachie na mpunga.
Kesho asubuhi aamke, ajikune mapumbu!
Amuambie mkewe huko chini anawashwa! Itabidi twende hospital nikapime.
Waende kwenye hospital husika.
Daktari akiwapokea, ampime tu jamaa alafu amuambie ana maambuzi ya Fungus 'Pumbu Erosion' inayotokana na kutojifuta vema akimaliza kuoga.
Amuambie na mke wapime maana endapo mapumbu yaligusa kwenye uke basi kuna uwezekano ikasabisha maambukizi pia kwake.
Akishampima akamkuta nao basi ampe dawa pia.
Kama hajaupata, basi amuambie yupo salama asifanye ngono na jamaa mpaka atakapopona!
Muambie jamaa yako AACHE UZINZI. HAULIPI.
Nimekutengenezea tu uongo ili kunusuru ndoa ya jamaa yetu!.
Angalau ila dah shemeji yangu nae mdadis sana so mwamba anapambana namna ya kuepuka huu msalaAkamlipe Dr ili amwambie mkewe kwamba jamaa ana gonjwa baya linalosababishwa na mapum-u 😂😂😂😂😂kuvimba na wala si ugonjwa wa zinaa 😂😂😂😂 hivyo wote ni lazima watumie dawa. Kama mke ni muelewa na mdadisi machale yatamcheza.