Rafiki yangu alichepuka akapata gono, amwambiaje mkewe akapime?

Umeshajua ni gono, unataka akapime nini? Mchukulie dawa tu mwambie za UTI atazimeza.
 
Kwani ukisema huyo jamaa ni wewe utadhurika?

Haya mwambie mkeo kuwa kuna hali flani huko 'downtown' huielewi unataka uende hosp kucheck then utamwambia results zilivyo na doctor alichosema.
Ukweli ni yeye, bora akakiri tu kwa mkewe kuwa kaukwaa.
 
Kwani ukisema huyo jamaa ni wewe utadhurika?

Haya mwambie mkeo kuwa kuna hali flani huko 'downtown' huielewi unataka uende hosp kucheck then utamwambia results zilivyo na doctor alichosema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
`Ajifanye kabakwa akafirwa akapewa gono, haya maisha kuna wakati unatakiwa ufanye maamuzi magumu kuokoa ndoa, *****, najua mashoga hapa mtaniunga mkono mbwa nyie
Sasa huo ushoga unahusika nini hapa? Unajitekenya na kucheka mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi hali zenu wewe na mkeo mnaendeleaj? Ulidhani kudanganya?
 
Sasa huo ushoga unahusika nini hapa? Unajitekenya na kucheka mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cocastic 🙄🙄 huwa naona unawatetea mashoga kidawa, kulikoni? Hadi nahisi we ni wema sepetu 😁😁
 
Cocastic [emoji849][emoji849] huwa naona unawatetea mashoga kidawa, kulikoni? Hadi nahisi we ni wema sepetu [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa dea jaman, mie sitetei ila huwa nasema ukweli tyuuh.
 
Akamlipe Dr ili amwambie mkewe kwamba jamaa ana gonjwa baya linalosababishwa na mapum-u 😂😂😂😂😂kuvimba na wala si ugonjwa wa zinaa 😂😂😂😂 hivyo wote ni lazima watumie dawa. Kama mke ni muelewa na mdadisi machale yatamcheza.

Rafiki yangu mmoja anapiga mtungi kawaida ila pia ni hardworking sana na anajali tu familia yake fresh, shida yake sometimes akipiga mtungi na anaweza kupita na yoyote then kesho anaanza kujuta.

Juzi kati akapita na jimama flan hivi kitaa baada ya siku kadhaa dalili za gono hizi hapa ikabidi akacheki hospital na ikawa ni kweli so akapewa dawa aanze kutumia na akashauriwa ampe na mwenzi wake.

Msala unakuja kwamba atampa vipi dawa za gono mkewe na atamwambia kwamba ni dawa za ugonjwa gani maana najua mke hawezi kumeza tu dawa bila ile karatasi ya daktari.

Tumshauri mwamba ajitoe vipi kwenye hii ngori kama waandamizi.
 
achukue hizo dawa amuwekee chini ya mtoto,ahakikishe hazioni. basi hiyo ni njia ya uponyaji kutoka kwa baba kwenda kwa mke
 
Uyo rafiki yako ni wewe mwenyewe umefanya kuzunguka tu

Vipi ulifanikisha!?
 
Back
Top Bottom