Rafiki yangu alichepuka akapata gono, amwambiaje mkewe akapime?

`Ajifanye kabakwa akafirwa akapewa gono, haya maisha kuna wakati unatakiwa ufanye maamuzi magumu kuokoa ndoa, *****, najua mashoga hapa mtaniunga mkono mbwa nyie
Duh aisee kweli bongo nyoso
 
Fanya hivi bro. Tafuta ka zahanati kadogo au kapya ambako kamefunguliwa na doctor aliyemaliza masomo kajiajiri. Nenda pale mpange kila kitu kisha mwambie nitakuja na mke wangu hapa sema wote tunaumwa malaria na typhoid alafu dawa chukua za gono. Make sure unatoa rushwa ili mambo yaende sawa.
Nilimshauri hivyo sema mke wake nae sio mzembe sana anaweza kuchukua hizo dawa akaenda kuuliza pharmacy nyingine nyingi kikanuka so sio poa
Muambie ni corona mpya, ina dalili nyingi🐒
Dalili kwenye uume mzee,ni noma
 
Fanya hivi bro. Tafuta ka zahanati kadogo au kapya ambako kamefunguliwa na doctor aliyemaliza masomo kajiajiri. Nenda pale mpange kila kitu kisha mwambie nitakuja na mke wangu hapa sema wote tunaumwa malaria na typhoid alafu dawa chukua za gono. Make sure unatoa rushwa ili mambo yaende sawa.
Nilimshauri hivyo
Ukute sasa huyo demu anazijua dawa za Gono au kuna wale kila kitu lazima waulize kwa third party kupata uhakika, hapo lazima kinuke.
Ndo shida ilipo hapo
 
Nilimshauri hivyo sema mke wake nae sio mzembe sana anaweza kuchukua hizo dawa akaenda kuuliza pharmacy nyingine nyingi kikanuka so sio poa

Dalili kwenye uume mzee,ni noma
Anakomaa mpaka mwisho hii itakuwa ni kovidi tu, kovidi haina tiba maalum, kama vipi akomae ni UTI , atoe dawa kwenye kasha aweke kwenye kikaratasi cha kawaida iandikwe tu jina la kawaida, mbona mambo yataenda tu !
 
Hivi dawa za gono hazifanani na za UTI? Isipokua kuna vidonge vingine vinaongezwa au?
 
Anakomaa mpaka mwisho hii itakuwa ni kovidi tu, kovidi haina tiba maalum, kama vipi akomae ni UTI , atoe dawa kwenye kasha aweke kwenye kikaratasi cha kawaida iandikwe tu jina la kawaida, mbona mambo yataenda tu !
Shida itakuja km mke atazitambua dawa na pia ukijichanganya tu ukamla umempa na yy na kihalisia atakua anataka
 
Fake id bado mtu anahisi atafahamika akisema ni yeye.

Amwambie hali anayojihisi mkewe then waende wote hospital wakapewe tiba, kama yeye kashapewa basi amwambie mkewe aliend hospital na kapata tiba fulani na hajui kalitoa wapi. Kikubwa asije akathubutu kusema eti alichepuka aisee wanawake hawapendagi ukweli.
 
Jioni hii hii aende kwenye hospital, amtafute kijana ambaye yupo intern!. Ampange fresh! Amwachie na mpunga.

Kesho asubuhi aamke, ajikune mapumbu!

Amuambie mkewe huko chini anawashwa! Itabidi twende hospital nikapime.

Waende kwenye hospital husika.

Daktari akiwapokea, ampime tu jamaa alafu amuambie ana maambuzi ya Fungus 'Pumbu Erosion' inayotokana na kutojifuta vema akimaliza kuoga.

Amuambie na mke wapime maana endapo mapumbu yaligusa kwenye uke basi kuna uwezekano ikasabisha maambukizi pia kwake.

Akishampima akamkuta nao basi ampe dawa pia.

Kama hajaupata, basi amuambie yupo salama asifanye ngono na jamaa mpaka atakapopona!

Muambie jamaa yako AACHE UZINZI. HAULIPI.

Nimekutengenezea tu uongo ili kunusuru ndoa ya jamaa yetu!.
 
Hapo betri Iazima ichomoke et amwambie hajui alipo itoa na mke wake sio boys na tunajua inaambukizwa vp
 
Ko jamaa aseme alichepuka?? Aisee hiyo asiiseme kamwe kikubwa tua amshauri bibie aanze dozi kwa namna yoyote ila sio kusema alichepuka. Bibie mwenyewe atajiongeza kua jamaa alichepuka sio kwa kusema mwenyewe, labda kma hampendi mkewe
 
Jioni hii hii aende kwenye hospital, amtafute kijana ambaye yupo intern!. Ampange fresh! Amwachie na mpunga.

Kesho asubuhi aamke, ajikune mapumbu!

Amuambie mkewe huko chini anawashwa! Itabidi twende hospital nikapime.

Waende kwenye hospital husika.

Daktari akiwapokea, ampime tu jamaa alafu amuambie ana maambuzi ya Fungus 'Pumbu Erosion' inayotokana na kutojifuta vema akimaliza kuoga.

Amuambie na mke wapime maana endapo mapumbu yaligusa kwenye uke basi kuna uwezekano ikasabisha maambukizi pia kwake.

Akishampima akamkuta nao basi ampe dawa pia.

Kama hajaupata, basi amuambie yupo salama asifanye ngono na jamaa mpaka atakapopona!

Muambie jamaa yako AACHE UZINZI. HAULIPI.

Nimekutengenezea tu uongo ili kunusuru ndoa ya jamaa yetu!.
Yes umejibu kama mwandamizi,hii nadhan imekaa sawa
 
Ko jamaa aseme alichepuka?? Aisee hiyo asiiseme kamwe kikubwa tua amshauri bibie aanze dozi kwa namna yoyote ila sio kusema alichepuka. Bibie mwenyewe atajiongeza kua jamaa alichepuka sio kwa kusema mwenyewe, labda kma hampendi mkewe
Hahahaha mcheki COMPACT alichosema
 
Back
Top Bottom