Rafiki yangu alitaka Tufe, Dereva wa Lorry akakubaliana naye, Mungu akamtumia Dereva mwingine Kutuokoa

Licha ya hivyo, kwenye udereva, barabarani unaendesha/control magari matatu kwa wakati mmoja. Gari lako, gari la nyuma ya lako na gari lililo mbele ya lako. Kwa kufuata hivyo utaendesha kwa usalama zaidi. Richard alifanya hivyo ndio ajali ikaepukika. Huyo jamaa yako alionywa na Richard kutokupita akakaidi.
 
Wema hauozi bro
 
Roho ya mwanachattle hii kabisa
 
Mtaalamu Chizi Maarifa Saivi Tungekuwa Tumekuandikia R.I.P.

Tuendelee kutenda mema kwa kadri tuwezavyo ni ngumu ila ukijitahidi inawezekana.

Pamoja kiongozi Chizi Maarifa.
 
Hakika
 
Sema nini, usimwamini mtu yeyote kuendesha gari yako unless unajua pasi na shaka ni dereva mzuri. Hiyo ajali ingetokea 100% ni uzembe wako kumpa lena gari.
 
Mmmh roho za kimasikini hizi!! Gari ni kitu gani mpka usiweze kumuazimisha mtu? Unaishi pori gani mkuu? Huku mjini sie kuazimana magari ni jambo la kawaida sana. Na usifannanishe gari na mke bro.
 

Kama Mtu hajawahi kuendesha highway tena kwa gari ambayo hajaizoea acha kabisa kufanya majaribio
Pia usisite kumshauri hata ku overtake au wapi anapaswa kupunguza mwendo
Nimekuwa nikisafiri na Uncle wangu wala nakuona shida pale nilipomwambia hapa waweza mpita au hapa hapana
 
Kule kwenye ule uzi wa misitu ya kongo mbona umeutelekeza[emoji38][emoji38][emoji38] alafu eti ni tabia yako kuanzisha nyuzi na kutelekeza, siyo fresh mkuu. Asante huu umeumaliza

Ukiona hivo ujie ni chai.
 
Umenikumbusha story ya mimi na Rafiki yangu nasibu....

Ni Kama kile kisa Cha Mfalme sulemani na wale wanawake wawili.....

Mara nyingi nasibu alipenda kuona nikiwa kweny trouble pamoja nae.....

Kuna kisa Cha udogoni Tukiwa nae alichokoza mbwa Tukiwa nae....Tuka Anza kukimbia kwa bahati mbaya akaona namzidi speed na mbwa yupo very near....alicho fanya ni kunipiga ng'wara ili mm ndio Ni ng'atwe na mbwa......

Kisa kingine aliandika barua ya matusi wakitumiana yeye na dada mmoja kihele hele akaipeleka kwa walimu...

Alipo fikishwa ofisini alipo ona wanataka kumpiga SP ya miezi mitatu akasema mm ndio nili isanifu....
Sema Yule dada aka waambia walimu kua mm si husiki.... Ile ilikua ishu yao..

Huyu Rafiki yangu alikua hatari alipenda kuona nikipata nae matatizo...

Ukipata dereva Kama nasibu lazima akupe maumivu.....
 
Mmmh roho za kimasikini hizi!! Gari ni kitu gani mpka usiweze kumuazimisha mtu? Unaishi pori gani mkuu? Huku mjini sie kuazimana magari ni jambo la kawaida sana. Na usifannanishe gari na mke bro.
Ni jana tu nilikutana na jamaa mmoja mwenye mawazo ya kijima kama ya kwako, "eti watanzania hatuko hivyo"!!!.... sababu tu, nimemzuia kufanya kitu ambacho kingeweza kuhatarisha maisha yake na watu wengine lakini pia kuingilia haki na uhuru wa watu wengine.

Hivi unaelewa ni kwa nini unalazimika kuwa na leseni ya kuendesha gari mbali na leseni ya barabara kwa gari lenyewe?.... Naamini hili unaweza kulitafakari kwa kina ukapata majibu bila hata kuwaona wataalamu..... Shirikisha kichwa chako kwanza kiwe na ushirikiano na viungo vingine.
 
Hizo betting tunafanyaga mjini tena off traffic areas. Kiutaratibu ulifanya kosa kubwa sana kumkabidhi learner chombo ya manual tena kwenye highway mngejimaliza wote wawili sasa ingebaki story tu.
 
Hizo betting tunafanyaga mjini tena off traffic areas. Kiutaratibu ulifanya kosa kubwa sana kumkabidhi learner chombo ya manual tena kwenye highway mngejimaliza wote wawili sasa ingebaki story tu.
Haya msingejua kuwa chizi maarifa has passed away.
 
Na mke je?!!hapo hujaweka maelezo mkuu
 
Kuna dereva mwingine wa lori alivyoona gari limemshinda breki mwenzake wa nyuma mto Ruvu pale akaona ajititie na mibreki ili amtumbukize mwenzie mtoni na akafanikiwa.
Hueleweki. Hizi shule za kata bora zifutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…