Rafiki yangu amezaa na mke wa mtu

Rafiki yangu amezaa na mke wa mtu

Kwanza huyo mwanamke ni malaya

Cha kufanya akapime DNA kwanza kisiri, kama malaya hataki amwache mumewe aendelee kutunza mtoto

Wanawake malaya matapeli sana

Anaweza akawa anahudumia mtoto kumbe hata mtoto si wake wala wa sio wa mume wake huyo malaya, utakuta ni mtoto wa mwanaume mwingine kabisa

Kumfanya malaya kuwa mke ni changamoto sana na haiwezikani
Nimeona picha ya mtoto, amefanana na jamaa kwa asilimia 90
 
Pole!

Sasa mpaka huu mkasa unaletwa hapa, maana wewe na huyo jamaa yako mmeona kuna tatizo, na tatizo lenyewe amezaa na mke wa mtu na wote mnakiri hivyo.

Sasa mnataka ushauri wa kazi gani ikiwa nyote watatu mke, jamaa, na wewe mnahisi siyo sawa?

Hapa mnataka majibu gani?

Anyway, kitanda hakizai haramu, kisheria mtoto siyo wa jamaa bali ni wa mwenye mke.

Huyo mwanamke atumie nafasi yake kama mama kwamba ajuaye baba wa mtoto ni yeye, na hivyo ampe mumewe mtoto na mtoto atambulishwe kwa baba mlezi.

Siku zote ndiyo maana baba huitwa Baba Mlezi na Mama ni mzazi.

Kama jamaa kapanda mbegu shamba si lake basi mazao si yake; kama ana kiherehere lolote limkute; mke wa mtu sumu!
Waafrika mna shida,wewe unajuaje kuwa jamaa hata kuja kujua maisha yake yote kuwa huyo mtoto sio wake.Dunia kubwa hii-huo ni mzozo wa badaye.
Na hiyo sheria,inayosema kila mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa ni mtoto halali umeitoa katika kifungo kipi.

Huyo mwanamke na huyo jamaa ndio chanzo cha vifo vingi vya mapenzi kutokea.
 
Ukishazaa na mke wa mtu huyo mtoto siyo wako, ni wa mwenye mke..... i.e mume wake..

Until mume wake amemkataa huyo mtoto basi hiyo sio mali yako bwashee..
 
Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.

Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,

Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,

mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
Alielewa big nyansh***akaona ajimilikishe mke wa mtu kabisa imenikita hii
 
N
Unaweza kukuta mleta mada ndio mwenye hichi kisanga lakini anatumia lugha ya kusema kuna jamaa fulani.....
JF kuna mambo ya ajabu, utamaduni wa kuficha identity zetu imepelekea kufake mambo mengi.
Ni kweli, mwandishi ndo mwenye kimeo. Kwani huyo rafikiye hawezi kufungua akaunti JF akajizungumzia mwenyewe.
Vilevile, ingekuwa kesi ya rafiki yake angemshauri yangeishia hukohuko.
Mwamba ni yeye na hapa ndo mara ya kwanza kufunguka. 😁
 
Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.

Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,

Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,

mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
Achana na mke wa mtu.
Mwamba akijua umemzalisha mkewe, hatakuacha salama.

Mpotezee mama na mwanawe. Kama atapenda kumweleza ukweli huko mbele, atakutafuta. Kwa sasa cheza mbali na huo waya.
Maisha yako yapo hatarini kuliko wakati wowote.

Badili namba. Hama mji. Over!
Endelea kujifanya unataka 'haki zako' kwenye mji wa watu.
 
huyo jamaa akate mawasiliano na huyo mwanamke kama kuna uwezekano akimbie kabisa hilo eneo na asipatikane.....

dah hata sijui kwanin na mshauri vizur hivi wakati amefanya upuuzi maksudi kabisa
 
naona sphincter muscles zako muda si mrefu zitalegezwa kabisa, wewe endelea tu na huyo malaya aliyepata bahati ya kuwa mke wa mtu.
 
naona sphincter muscles zako muda si mrefu zitalegezwa kabisa, wewe endelea tu na huyo malaya aliyepata bahati ya kuwa mke wa mtu.
 
Kuna mkasa ulitokea kwa rafiki wa shemeji yangu,yaan una watoto watano ila wa tatu unakuja kumchapua na kusema huyu si wangu na unafanikiwa,mkasa mkubwa sana huu
 
Waafrika mna shida,wewe unajuaje kuwa jamaa hata kuja kujua maisha yake yote kuwa huyo mtoto sio wake.Dunia kubwa hii-huo ni mzozo wa badaye.
Na hiyo sheria,inayosema kila mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa ni mtoto halali umeitoa katika kifungo kipi.

Huyo mwanamke na huyo jamaa ndio chanzo cha vifo vingi vya mapenzi kutokea.

Labda nianze na wewe!

1. Aliyekuambia "yule ni baba yako ni nani?" Una uhakika gani kwamba huyo ni baba yako?

2. Kama una watoto, aliyekumabia hao watoto ni wa kwako ni nani? Una uhakika gani? Jibu bila mihemko!
 
Back
Top Bottom