Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Mkuu Rafiki yako atapata vipi hiyo damu yake bila kuvunja ndoa ya jamaa na mke wake?Anadai hataki kupoteza damu yake
Namshauri ndugu yetu awe na moyo mkuu na ujasiri maana mkewe naye atamletea toto wa nje na asimkatae....Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,
Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,
mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
Aaache usenge atapakwa mafuta, you can't owned without service .Mwanamke ni mfanya biashara anajiweza kiuchumu, ye amnachotaka waendelee na mahusiano ya kimapenzi, only that
Yaani unamshauri Mwanaume mwenzio atupe kabisa damu yake!? Je watoto wakiwa wakubwa wakija kuowana nyinyi wazazi mtakua kwenye hali gani baada kujua kua hao ni mtu na dada yake!? Dunia hii ina siri sana huwezi jua mipango ya Mungu, siku zote keep your all blood close to you !!Akatae kabisa kumhudumia huyo mtoto na avunje kabisa mahusiano na huyo malaya
Nasisitiza avunje mahusiano kabisa
Hilo ni bomu zaidi ya nyuklia likija kulipuka
Sawa, ishi maisha yako...Hapana mkuu
Watu wanapenda chovya chovya aseeHabari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,
Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,
mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
Na pengone yeye ndo huyo mke wa mtu, JF haina mfano!Unaweza kukuta mleta mada ndio mwenye hichi kisanga lakini anatumia lugha ya kusema kuna jamaa fulani.....
JF kuna mambo ya ajabu, utamaduni wa kuficha identity zetu imepelekea kufake mambo mengi.