Nimeona picha ya mtoto, amefanana na jamaa kwa asilimia 90Kwanza huyo mwanamke ni malaya
Cha kufanya akapime DNA kwanza kisiri, kama malaya hataki amwache mumewe aendelee kutunza mtoto
Wanawake malaya matapeli sana
Anaweza akawa anahudumia mtoto kumbe hata mtoto si wake wala wa sio wa mume wake huyo malaya, utakuta ni mtoto wa mwanaume mwingine kabisa
Kumfanya malaya kuwa mke ni changamoto sana na haiwezikani
Waafrika mna shida,wewe unajuaje kuwa jamaa hata kuja kujua maisha yake yote kuwa huyo mtoto sio wake.Dunia kubwa hii-huo ni mzozo wa badaye.Pole!
Sasa mpaka huu mkasa unaletwa hapa, maana wewe na huyo jamaa yako mmeona kuna tatizo, na tatizo lenyewe amezaa na mke wa mtu na wote mnakiri hivyo.
Sasa mnataka ushauri wa kazi gani ikiwa nyote watatu mke, jamaa, na wewe mnahisi siyo sawa?
Hapa mnataka majibu gani?
Anyway, kitanda hakizai haramu, kisheria mtoto siyo wa jamaa bali ni wa mwenye mke.
Huyo mwanamke atumie nafasi yake kama mama kwamba ajuaye baba wa mtoto ni yeye, na hivyo ampe mumewe mtoto na mtoto atambulishwe kwa baba mlezi.
Siku zote ndiyo maana baba huitwa Baba Mlezi na Mama ni mzazi.
Kama jamaa kapanda mbegu shamba si lake basi mazao si yake; kama ana kiherehere lolote limkute; mke wa mtu sumu!
Alielewa big nyansh***akaona ajimilikishe mke wa mtu kabisa imenikita hiiHabari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,
Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,
mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
Ni kweli, mwandishi ndo mwenye kimeo. Kwani huyo rafikiye hawezi kufungua akaunti JF akajizungumzia mwenyewe.Unaweza kukuta mleta mada ndio mwenye hichi kisanga lakini anatumia lugha ya kusema kuna jamaa fulani.....
JF kuna mambo ya ajabu, utamaduni wa kuficha identity zetu imepelekea kufake mambo mengi.
Akatae kabisa kumhudumia huyo mtoto na avunje kabisa mahusiano na huyo malayaNimeona picha ya mtoto, amefanana na jamaa kwa asilimia 90
Achana na mke wa mtu.Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,
Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,
mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
Sasa anamuhudumia Mtoto wa nini wakati anajua kabisa kafanya makosaUnataka nimpoteze rafiki yangu
Waafrika mna shida,wewe unajuaje kuwa jamaa hata kuja kujua maisha yake yote kuwa huyo mtoto sio wake.Dunia kubwa hii-huo ni mzozo wa badaye.
Na hiyo sheria,inayosema kila mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa ni mtoto halali umeitoa katika kifungo kipi.
Huyo mwanamke na huyo jamaa ndio chanzo cha vifo vingi vya mapenzi kutokea.