- Thread starter
- #21
Nilishamkatalia yapata mwezi sasa lakini nashangaa leo ananirudia tena nimemdanganya hata mimi nilikopa Vodacom bado nadaiwa lakini naona kama anataka kunilazimisha eti chake alimkopea dogo mmoja alafu dogo kafanya maujanja so anaogopa labda dogo hajamalizia deni,asante nishapata jibu siendi tena kwanza nishasafiri hadi mwezi wa 8 nitarudi so ataendelea na taratibu zingine