Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?

Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?

Yamekutana majinga. What kind of questions is she asking? Kitambulisho ndio utambulisho wako; kitambulisho chako kikitumika means ni wewe. Simple logic!
Hawajielewi
 
Wewe ndiye mpumbavu! Kwa nini usimwambie ukweli kwamba haiwezekani badala ya kuwa unamwambia eti mkutane Jumatano?
Ni kina kajua yote, wao hawashindwi kitu. Kila kitu kwao ni sawa.

Anashindwa kumwambia hilo haliwezekani.
 
Sijui kwanini nimecheka sana, Lol 😂😂😂😂
 
Asante, nilikuwa nataka kujiridhisha maana nasikia sikuhizi ukikopa simu kuna wajanja wanafuta inakuwa haifungwi na deni sijui inakuaje
Kama una hela hazina kazi nirushie niongeze bucket ya smirnoff
 
Habari zenu wana JFA,

Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.

Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Kwanini umeamua kuwa mpumbavu kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom