Ipo siku atakuja kuomba hati ya nyumba yako akakope benki, pia mpatie ili ukalale nje.Habari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Kwa uzi huu na "hoja" hizi itoshe kusema wewe ni mjinga.Habari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Yamekutana majinga. What kind of questions is she asking? Kitambulisho ndio utambulisho wako; kitambulisho chako kikitumika means ni wewe. Simple logic!Huyo rafiki yako ni mpumbavu,simu ya laki mbili na 50 unalipia laki sita kwa mwaka
Haina shida kabisa , kuwa na amani, msaidie mwenzakoHabari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Yaani unajitafutia tabu,kataaHabari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Kwani unamwogopa,hata km hujasafiri unamwambia tuu hapanaNilishamkatalia yapata mwezi sasa lakini nashangaa leo ananirudia tena nimemdanganya hata mimi nilikopa Vodacom bado nadaiwa lakini naona kama anataka kunilazimisha eti chake alimkopea dogo mmoja alafu dogo kafanya maujanja so anaogopa labda dogo hajamalizia deni,asante nishapata jibu siendi tena kwanza nishasafiri hadi mwezi wa 8 nitarudi so ataendelea na taratibu zingine
Anataka akufunge, kataa kabisa akinuna futa na urafiki wenyeweHabari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
JIFUNZE KUSEMA HAPANA, JAMBO LA KAWAIDA UNASHINDWAJE KUSEMA HAPANA? SEMA HAPANA, TUMIA KITAMBULISHO CHAKO.Habari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Ukweli haina shida kabisa maana hicho kitambulisho siyo chake hawezi kupata tatizo lolote aise halafu kule alikokopa picha na kitambulisho si vyake sasa tatizo liko wapi? Halafu haya makampuni ya kukopesha simu ni wapumbavu tuu ndiyo maana watu hawalipi simu za mkopo maana wanaokopa hawana vitambulisho na wanatumia vya watu wengine.!Habari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Utajuta, maana deni litakuwa lako 100%Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?
Watafute wataalamu wa Mirembe watakusaidia tatizo lako.Habari zenu wana JFA,
Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam.
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Huyo siyo rafiki. Na kwa kumsaidia tu na wewe umlazimishe achukue kitambulisho chake kama hanaHabari zenu wana JFA,