Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?

Nilishamkatalia yapata mwezi sasa lakini nashangaa leo ananirudia tena nimemdanganya hata mimi nilikopa Vodacom bado nadaiwa lakini naona kama anataka kunilazimisha eti chake alimkopea dogo mmoja alafu dogo kafanya maujanja so anaogopa labda dogo hajamalizia deni,asante nishapata jibu siendi tena kwanza nishasafiri hadi mwezi wa 8 nitarudi so ataendelea na taratibu zingine
 
Kitambulisho ni wewe,
Mdaiwa utakuwa wewe,
Utalipa deni wewe
Acha ufala
 
Wewe ndo utakuwa mkopaji si yeye
 
Ww jamaa huna akili timamu aisee, kwahy Huwezi kusema hutaki?
 
subiri kupigwa na kitu kizito ili uzinduke
 
Sasa naomba kuuliza kama atashindwa kulipa deni si litakuja kwangu? Msaada kwa wenye kujua janja wanayofanya wanaokopa simu au nimsaidie tu?
Asante
Hawatokipokea mpaka wewe uwepo na uridhie
 
Nasikitika hii nchi inazalisha vijana wengi sana wajinga kwa sasa. Hii yote ili kijani iendelee kudumu.
 
Kwani ana umri gani kushindwa kumiliki kitambulisho cha taifa walau namba za NIDA?
 
We fisadi,kitambulisho ni chako na simu itakuwa ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…