Ameoa ktk ulimwengu wa roho tayari,anapofanya mapenzi ndotoni anafanya mapenzi na jini,ambaye ni mke wake halali(spiritual wife).
Kushindwa kufanya mapenzi na mke wake wa mwili,ni wivu wa jini mahaba,mwanaume asiweze ku-sex na mwanamke yeyote wa mwili ila a-sex na jini huyo tu.
Anatakiwa kufutiwa mashtaka(sexual sin) yaliyompa jini mahaba uhalali wa kum'miliki.
Mashtaka hayo yanafutwa kwa damu ya yesu tu,yesu anakununua kutoka kwenye huo utumwa wa jini mahaba kwa damu yake.Kanuni ya
Mungu,sadaka ya dhambi ni damu na sasa tunatumia damu ya Yesu kufutiwa mashtaka.
Nenda kwa mtumishi wa Mungu mwenye nguvu za Mungu(i recommend Mwamposa).
Tofauti na hivyo utasumbuka sana,maana jini huyu msumbufu hatari.