Masaki road
Member
- Jul 16, 2020
- 52
- 86
Nakubali hili suala linatokea ebu mwandalie Lita Moja ya asali,, kilo Moja ya karanga,,tangawizi na kituunguu swaumu umchanganyie vizuri atumie Kwa wiki huku mazoezi ya mwili akiendelea nayo tuone kama hatakuwa na hamuHakunaga kitu kinaitwa jini mahaba, ashughulikie mambo mengine ya kisaikolojia.
Kuota unafanya mapenzi ni kawaida tu, kuishiwa hamu ya tendo ni kawaida na pia kuingia kitandani na mwanamke ngoma isisimame pia ni kawaida.
Mimi yaliyashanitokea hayo, na yanaendelea kunitokea, na wanaume asilimia 90 yalishawatokea.
Stori za majini mahaba, maimuna sijui jini makata hazina uthibitisho wowote.
Saikolojia ya mapenzi inatesa sana
Na Sisi wanaume hatuchelewi kusingizia tunalogwa