Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

Asante sana kwa maelezo mazuri
 
Kuotq unafanya mapenzi sio ugonjwa wala tatizo, ni kitu cha kawaida kwa mtu yeyote mwenye nyege.
Naam ila kupoteza hamu ya kufanya mapenzi na mpenzi wako naamini sio kawaida tena ukiwa upo fit kabisa mazoezi mengi
 
Nje ya mada kuu. Kipindi nabalehe na sina uwezo wa kukamata mademu nilikuwa naombea sana nopate huu ugonjwa wa kuwa na jini mahaba ila mikawa hata siyapati
 
Hakunaga vitu kama hivi sijui jini mahaba sijui popobawa. Ni story tu za vijiweni na mabarazani kupoteza muda na kusogeza siku watu wakishashiba kande na kuvimbiwa.

Msingi wa maisha ni kufanya kazi.
😂😂😂😂 oya
 
mwambie aokoke tu, kwasababu mtu wa aina hiyo kwanza huwa haolewi, jini lina wivu, pili hata akiolewa hua hazai. aokoke tu, ndio jini litakimbia lenyewe.

hata kama ndugu katika imani yao wanaamini kuwa kuna majini mazuri na mabaya, ila ukweli ni kwamba majini ni mashetani, ni mojawapo ya ile 1/3 ya malaika ambao walifukuzwa mbinguni baada ya kuasi. hivyo ni mafuasi au niseme ni mashetani. huko pwani kuna wanaume wameyaoa ya kike na yanawaletea pesa au yanawafanyia mambo mengi tu hata kufanya nao ngono. ajabu yake, pamoja na yote hayo, mwisho wa siku lazima yatakuteketeza kabla haujampokea Yesu ili ukaende motoni, kwasababu shetani hakupendi hata kama atakupa peremende za aina gani.

Yesu alisema: YOHANA 10:12, Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. 11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. 12 Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya.

UKIISHI NA MASHETANI,jua kabisa kwamba yapo kwako ili kukuua na kukuchinja na kukuharibu, hivyo hata ninyi mnaofuga majini, jueni hivyo, kuna siku yatawachinja tu. bali Yesu amekuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele. Okokeni, muda umeisha, Yesu anarudi.
 
Muambie atumie mafuta ya Miski nyeupe...inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili..namna ya kutumia ataelekezwa huko huko.
 
Karibu inbox 📥 tukusaidie
 
Huyo jamas ni Muislam? Maana hawa jamaa kwa kuishi na kufilana na majini hawajambo, pole zake.
 
Kama ni Mkristu Mwambe abadilishe dini na kuwa Muislam ili aishi nao vizuri la sivyo watakuja mgeuzia kibao na kumfila yeye
 
Hakunaga vitu kama hivi sijui jini mahaba sijui popobawa. Ni story tu za vijiweni na mabarazani kupoteza muda na kusogeza siku watu wakishashiba kande na kuvimbiwa.

Msingi wa maisha ni kufanya kazi.
Leo hujavuta umeongea point
 
Huyo jamas ni Muislam? Maana hawa jamaa kwa kuishi na kufilana na majini hawajambo, pole zake.
Hahahahaaa! Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Wewe ulishawahi kufirwa na jini?
 
Mwamba umefeli sana, unasifia JF ni ya magreat thinker halafu unaleta story za kindezi hivi, wahi fb huko ndio panakufaa
 
Hahahahaaa! Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Wewe ulishawahi kufirwa na jini?
Si ndiyo zenu hizo, angalia kina Aunty Muddy (mashoga) wote waliotapakaa Zanzibar, Tanga na hapa Dar, asilimia kubwa yao ni wafuga majini (Waislam).
 
Si ndiyo zenu hizo, angalia kina Aunty Muddy (mashoga) wote waliotapakaa Zanzibar, Tanga na hapa Dar, asilimia kubwa yao ni wafuga majini (Waislam).
Majini yapo kwa wakristo kama unabisha angalia kanisani wangapi wanatolewa majini
 
Yesu ndio nguvu pekee inayoweza kumtoa huyo,kinyume cha hapo atahangaika sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…