Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

Nakubali hili suala linatokea ebu mwandalie Lita Moja ya asali,, kilo Moja ya karanga,,tangawizi na kituunguu swaumu umchanganyie vizuri atumie Kwa wiki huku mazoezi ya mwili akiendelea nayo tuone kama hatakuwa na hamu

Saikolojia ya mapenzi inatesa sana

Na Sisi wanaume hatuchelewi kusingizia tunalogwa
 
Mojawapo ya masharti ya kumuondoa jini mahaba ni kuwa mkweli kwa anayokutendea .. Sasa wewe hatua ya kwanza tu umeshindwa! Hebu kuwa mkweli , acha kuzunguka !
 
Muambie atumie mafuta ya Miski nyeupe...inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili..namna ya kutumia ataelekezwa huko huko.
Yanasaidia kiuhakika kaka?
 
Tafuta beberu la mbuzi lisilo na kwato kwenye miguu ili ni kutibu kijana hilo tatizo lako. Natambua fika mhanga ni wewe, na siyo huyo rafiki yako.
 
Tafuta beberu la mbuzi lisilo na kwato kwenye miguu ili ni kutibu kijana hilo tatizo lako. Natambua fika mhanga ni wewe, na siyo huyo rafiki yako.
Haha, sawa ntamwambia kijana alitafute
 
Aende kanisani akasali kwa mchungaji katunzi eagt city center njia ya mbagala Ata aki Google pastor Florian katunzi atapata maelekezo ya kanisa lilipo happy atapona tena Bure kabisa, onyo usiende kwa mitume na managing.
 
Mbona kama ni WEWE, c unatumia jina FEKI,hofu ya nini?

USHAURI
Nenda kwa watumishi wa Mungu,wale wa KWELI utaombewa ,na kama una IMANI, hilo tatizo litaisha

Kama upo Arusha ,fika Kanisa la VUKA JORDAN ,kwa Askofu Elibariki Sumbe..Kanisa lipo Kisongo kwa mbele kidogo,kituo kinaitwa MWAYA or WAYA,(jina limenichanganya kidogo)

Kuna Magari yapo kituo cha Kilombero to Waya moja kwa moja.Ibada ni kila Jumatano kuanzia saa 9jioni na Kila Jumapili saa 2 asubuhi
 
Kuamini kuna jini mahaba ni akili za kimaskini na ujinga.
 
Majini yapo kwa wakristo kama unabisha angalia kanisani wangapi wanatolewa majini
Wale wameoa wake wa Kiislam waliowatupia majini na wengine ni Waislam wanakwenda kutolewa majini baada ya kushindikana kutolewa misikitini
 
Wale wameoa wake wa Kiislam waliowatupia majini na wengine ni Waislam wanakwenda kutolewa majini baada ya kushindikana kutolewa misikitini
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
Pole sana kwa changamoto hiyo.

Kuota ndoto ukifanya mapenzi si tatzo na wala haina shida.

Shida ni nyie kuhusianisha ndoto hyo na imani za viumbe vya dhahania.

Habari ya jini ni hadithi tu za watu tena za uongo zisidho na uhalisia

"Ukiacha hisia na kuwaza habari za Mungu, utaona jinsi Mungu anavyopotea na ndugu zake wengine wasioonekana akiwepo jini. "
 
naona jini unamjibu binadamu. ushindwe kwa JINA LA YESU KRISTO.
 
Asante kwa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…