Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Acha kumfokea mgonjwa
 
Ni wewe sio rafiki yako
 
Kwani huwezi tu kusema ni wewe? Rafiki yako alikuita umpige picha akiwa uchi? Au alijipiga picha za utupu akakutumia?
 
Ni Kichwa hichi au maana nimeuza simu so nimeshindwa kukushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…