Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Kwanza anunue scrub na moisturizer ngozi ngumu sana hyo.hapo unabusu wapi??
 
Vipimo vyote nimefanya, lakn watu wananiambia changamoto itakuwa ni maji, maana n mgeni sehem hyo
kumbe ni wewe alafu unataka kumsingizia Rafiki.
Vipimo vyote umefanya kwenye hospital yenye uwezo gani...Nenda kupima sehemu nyingine
 
Mbona jamaa yangu tena 😂😂😂😂
wewe umeandika

Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume​

lakin saiz unaving'ang'ania vipele ni vyako.....
naomba huu uzi upelekwe kwa matahira
 
Na kwanini umsingizie rafiki yako wakati wewe ndio mwenye tatizo
 
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

View attachment 3005801View attachment 3005803
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ndiyo marajeo.
 
kwa upande ma mavuzi nimekuzidi, yakwangu ni marefu sana alafu meusi tii...
 
Wengi wanadhani kondom Ni Kinga tosha. Ukweli Ni kwamba sio kweli. Malaya wengi Wana magonjwa ya ngozi hasa katikati ya mapaja na makalioni. Sasa wewe unapomla kwa style ya chuma mboga kwenye chocho au kwa Babu ujue unaondoka na ukurutu na upele usiotibika.
Lakini magodoro na shuka kwenye gesti za Bei poa especially vile vyumba maalum kwa short time (Mbagala Ni kinara) Ni sehemu ya kuchukua magonjwa ya ngozi, kunguni na chawa. Sio chawa mwinjachu, chawa real.
 
wewe umeandika

Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume​

lakin saiz unaving'ang'ania vipele ni vyako.....
naomba huu uzi upelekwe kwa matahira
Mkuu sio mim wala uzi sio wangu anagalia vzr alieleta uzi 😂
 
Unawashwa ??? Na kama unawashwa je ukijikuna unapata raha ???
 
Back
Top Bottom