Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Vipimo vyote nimefanya, lakn watu wananiambia changamoto itakuwa ni maji, maana n mgeni sehem hyo
Kumbe Ni wewe mwenyewe!
Kwanza kabisa elewa kwamba wewe Ni mchafu. Mivuzi yote hiyo mpaka kwenye tigo huoni kwamba ndio chanzo.
Mivuzi hiyo ukiingia gesti za Mbagala zile za buku 5 choo mumo kwa mumo utaacha kuchukua mbegu za maradhi?
Huna personal hygiene kijana. Nyoa mavuzi halafu lete mrejesho.
 
Vipimo vyote nimefanya, lakn watu wananiambia changamoto itakuwa ni maji, maana n mgeni sehem hyo
Yaani mwanzo wa story umesema rafiki yako, hapa unajibu kama wewe. Njia ya muongo ni fupi. Kwa nini mtu ukiwa na shida yako mwenyewe unasingizia rafiki yako?
 
Vijana embu oeni jamani.. tizameni mnavyoteseka
 
Kwamba Rafiki yako akuonyeshe uume wake wewe umekuwa mkewe au daktari?

Kwanini kama unaumwa wewe usiseme ni wewe ili members hapa wenye utaalamu waone namna ya kukusaidia?,Jina na I'd yako yenyewe unatumia FAKE,Why uogope?


Any way

Hizo ni dalili za Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI)
🤣🤣🤣
 
KUNA UWEZEKANO UMEPATA MZIO, MARANYINGI HUWA MAFUTA YA CHAKULA AU ULAJI FULANI WA NYAMA. Hatua ya kwa kwanza baini chanzo na sitisha ulaji huo. Pili tafuta dawa either dawa ya asili au ya kisasa (hospitalini) ambayo NI YA KUSAFISHA DAMU maana umepata mchafuko wa damu. Tatu zingatia usafi kwa ujumla wake wa mwili na mavazi. Nne paka cream au dawa yakukausha eneo hilo. Nne na mwisho kula mlo kamili epuka ulaji vinywaj n vyakula vya kemikali. Bonus, fanya ibada Mungu akupe maarifa na busara.
 
Dawa ipo piga picha Marinda rusha hapa niangalie Size ya dawa itakayokufaa
 
Back
Top Bottom