Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Vipimo vyote nimefanya, lakn watu wananiambia changamoto itakuwa ni maji, maana n mgeni sehem hyo
Heading rafiki yangu,content nimefanya vipimo,acha kujuficha,huyo rafiki yako wakukubali kupigwa picha za hadi uume si ni balaa hili,kaka yangu hawezi ona uume wangu ,vipi rafiki? Au mna mikakati ya siri na huyo rafiki yako.

By the way pole.
 
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

View attachment 3005801View attachment 3005803

Mimi nilikuwa muhanga wa huu upele mkuu
Unawasha sana usiku.

Nunua scaboma lotion.
Inauzwa 8,000 pharmacy
Ukitoka kuoga unapaka sehemu zilizo athirika.
Ni vyema pia ukaoga maji ya moto.

Cha kuzingatia Usirudie nguo wala mashuka[emoji419]

IMG_6717.jpg
 
😂😂😂😂😂 hakuna kazi ngumu kama kuwa muongo. Hatimae umeamua kusema ukwel sasa kuwa sio tafiki yako tena bali ni wewe
Vipimo vyote nimefanya, lakn watu wananiambia changamoto itakuwa ni maji, maana n mgeni sehem
😂😂😂😂😂😂😂.
MAana hapa ulidai ni mshkaji wako
Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye
 
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

View attachment 3005801View attachment 3005803
Scabies hizo

Tafuta Scaboma , ivermectin na desloratadine- ukipona urushe ya bia mbili tatu
 
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

View attachment 3005801View attachment 3005803
Pole sna..nenda hospital
 
Hiyo siyo scabies kweli? Vinawasha sana? Kuna vichawa vidogo kabisa vinaishi ndani ya ngozi. Watu wanasema ni ukurutu lakini kimsingi ni chawa wadogo. Wanaambukiza sana na kuwaondoa ni tricky kidogo kwa sababu mayai yake ynabaki kwenye nguo na mashuka. Umeshajipaka dawa inatwa Scaboma? Jaribu hiyo na mashuka yote yafue halafu yape likizo kwa muda ili kama kuna mayai yafe.
 
Usafi wa kwapa jambo muhimu sanaa.... Vinyweleo vingi ivoo inaashiria hapendi usafii
Akuje apa Mloganzila Hosp
 
Back
Top Bottom