Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Ila we Fala mchafu sana asee..sipati picha hizo boksa zako unazovaa ziko na hali gani.una demu hata kweli?
 
Kwanza hamuongelei rafiki ilo tatizo linakusumbua wewe. Ivyo vipele vishawahi kunitokea usoni vinajaa maji hivi halafu vinawasha sana usiku ukiwa umelala na siku zinavyoenda vinazidi kusambaa na ukigusana na mtu unamuambikiza. Nilienda hospitali wakachukua vipimo vya UTI, HIV, haja kubwa na ndogo kote nikaonekana nipo fresh wakanipa dawa lakini hazikusaidia chochote. Niliangaika hapo kati kutumia dawa nyingi bila mafanikio wengine wakaniambia nipake maji ya limao lakini wapi. Kuna siku niliogea sababu ya kipande ile ya jamaa kesho yake nikaona kama vile vinanaanza kufifia nikawa natumia sabuni ya jamaa kuoga mpaka vikaisha kabisa. Labda jaribu kutumia sabuni ya jamaa hakikisha unajisafisha kwa sabubi eneo lenye vipele kila unapooga
 
Acha kula au kunywa mauchafu na matakataka.

Soda inasababisha mrundikano wa masukari guru kwenye damu, sumu, uchafu, tindikali nk... lazima upate mapele na MAJIPU a.k.a MANUNDU.

KAHAWA, MAFUTA, BIA, MAYAI YA KISASA, KUKU WA KISASA, CHIPUSI ZA MAFUTA YA TRANSFOMA, BLUEBAND, JUISI, FLOURIDE, CHLORINE, MERCURY, HEAVY METALS.

PARASITES, MINYOO KWENYE UTUMBO.

MACHANJO YA CORONA, ANTIBIOTICS.
SIMBA iongeze kwenye list 😂😂😂
 
Unaponaje na haya yote huruki
 
atumie GRISEOFULVIN ni dawa nzuri ya fungus kama hajatumia lakini

pia kwa ushauri akapime choo (minyoo) pia husababisha mapere.
 
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

View attachment 3005801View attachment 3005803
Huyu ni wew bro..yaan rafik yako akutumie picha kama hiz bro
 
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

View attachment 3005801View attachment 3005803
BKOOD INF MKUU AKAPIGE SINDANO 5 ZA...AKIFIKA HOSPT WATAMWAMBIA
 
Back
Top Bottom