Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Maji inaweezekana mkuu ila kama ukipiga hizi sindano hata kama kuna inf unatoboa 25 000 zote moja 5000..ukikuta 3000 feki hizoSi useme tu ni wewe aisee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji inaweezekana mkuu ila kama ukipiga hizi sindano hata kama kuna inf unatoboa 25 000 zote moja 5000..ukikuta 3000 feki hizoSi useme tu ni wewe aisee!!
Huyu mjomba bana😂😂Kwamba Rafiki yako akuonyeshe uume wake wewe umekuwa mkewe au daktari?
Kwanini kama unaumwa wewe usiseme ni wewe ili members hapa wenye utaalamu waone namna ya kukusaidia?,Jina na I'd yako yenyewe unatumia FAKE,Why uogope?
Any way
Hizo ni dalili za Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI)