Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Narudia, Je, wewe ni changudoa mstaafu? Kama ni ndiyo tafadhali usijaribu kuwa a surrogate mother utamuharibia maisha huyu mtoto akija iga tabia yako kwani vya kurithi ni vibaya zaidi.Acha jazba..Hakuna sehemu ulikolazimishwa.
Mkuu kwani mimi nimekukosea nini?Narudia, Je, wewe ni changudoa mstaafu? Kama ni ndiyo tafadhali usijaribu kuwa a surrogate mother utamuharibia maisha huyu mtoto akija iga tabia yako kwani vya kurithi ni vibaya zaidi.
Atakua jinsia ya bangeRafiki yako anatafuta mwanaume au mwanamke wa kumzalia mtoto....
Huyo rafiki yako yeye ni jinsia gani sasa.
Ngoja nikaanue nguo kwanza zisipauke jua kali sana leo
Sikia lady Jay ni bora ungesema kabisa wasifu wako na tabia zako ili tujuwe kama unastahili kubeba ujauzito wetu/wanguHabari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Hata yule Shah Rukh Khan 'King of Bollywood' mtoto wake wa mwisho wamemzaa kwa kutumia surrogate mother.Mleta Mada na yeye hana uelewa wa jambo hili au tamaa ya nyumba na gari ndio vimemfumba macho,
Surrogate Mother hua haingiliani kimwili na hao wahusika, bali yeye hutoa tumbo lake kubebea kiumbe cha watu walioshindwa kubeba mimba kwa sababu mbali mbali.....
Mfano mzuri ni Kim Kardashian na mumewe Kanye West walifanya hii kitu lakini pia mimi mwenyewe nitaifanya mwaka 2025 in shaa Allah, as babymama kakubali kutoa tumbo lake, huureeeeeh!🥳
Kuna faida nzuri kama wewe huna complications za uzazi ukasaidia wengine kuwapa hitaji la Moyo wao, utabarikiwa sana na hii isiishie India tu hata Africa ni muda wetu sasa kuamka na kuproduce more children kupitia njia hii as IVF imekua changamoto sana kwa wengine.
Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Hiyo ndiyo surrogacy. Ukimfanya mwanamke Surrogate na hapo hapo akawa donor, mtoto humpati ng'o!!!! Hiyo ni kuzaa nje ya ndoa. Lazima anayebeba hiyo mimba asiwe na uhusiano wowote biologically na mtoto atakayezaliwa.Mleta Mada na yeye hana uelewa wa jambo hili au tamaa ya nyumba na gari ndio vimemfumba macho,
Surrogate Mother hua haingiliani kimwili na hao wahusika, bali yeye hutoa tumbo lake kubebea kiumbe cha watu walioshindwa kubeba mimba kwa sababu mbali mbali za kiafya, mimba hutungishwa maabara kisha hupandikizwa kwa huyo surrogate na hiyo hufanyika kwa makubaliano maalumu,
Mfano mzuri ni Kim Kardashian na mumewe Kanye West walifanya hii kitu lakini pia mimi mwenyewe nitaifanya mwaka 2025 in shaa Allah, as babymama kakubali kutoa tumbo lake, huureeeeeh!🥳
Kuna faida nzuri kama wewe huna complications za uzazi ukasaidia wengine kuwapa hitaji la Moyo wao, utabarikiwa sana na hii isiishie India tu hata Africa ni muda wetu sasa kuamka na kuproduce more children kupitia njia hii as IVF imekua changamoto sana kwa wengine.
Mkuu, hujaona neno mother pale mbele? Hakunaga mother mwanaume nakwambiaRafiki yako anatafuta mwanaume au mwanamke wa kumzalia mtoto....
Huyo rafiki yako yeye ni jinsia gani sasa.
Ngoja nikaanue nguo kwanza zisipauke jua kali sana leo
Ameedit akaongezea uzi mwanzo ulikuwa hausemi hivi ulikuwa tofauti kabisaMkuu, hujaona neno mother pale mbele? Hakunaga mother mwanaume nakwambia
Nashangaa sana si aende kituo cha watoto yatima akachukue ata wa2Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Hapa ndio kwenye lengo na dhumuni,kweli Dunia imebadilika sana umalaya una kila aina ya stages.Yes unamlipa vizuri na pia una haki kufuatilia mwenendo wa mimba.
Anahitaji nyumba na gari.
Mtoto akizaliwa mhusika anachukua??Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Tuko dunia ya kumi mama, hii issue ya surrogacy bado haijaeleweka kabisa huku kwetu.Duh [emoji23][emoji23][emoji23], how can people be this illiterate?
Ina maana hujui kuna kuwepo na medical reviews na mikataba kabla ya yote?